Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkuu wa tume Zanzibar ana mamlaka ya kufuta matokeo?

Uamuzi wa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha ya kufuta matokeo ya uchaguzi umezua maswali mengi kuliko majibu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA BARAZA LA WAKILISHI WA CUF ZANZIBAR WAMEPINGA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA ZANZIBAR KUFUTWA

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Chama chama Wananchi (CUF)wamepinga matokeo ya uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kufutwa  kutokana na mtu aliyefanya utenguzi huo ni utashi wake na sio Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC).
Wajumbe 27 wa baraza hilo wamewasili jijini Dar es Salaam kuzungumza na waandishi wa habari juu ya kizungumkuti cha matokeo ya uchaguzi kufutwa huku wakiwa wenyewe hatambui hatua hiyo.
Akizungumza  mmoja wa wajumbe wa Baraza la Wawakilishi,...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza

Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika Thursday, October 1, 2015 TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebanwa mbavu ikitakiwa kutoa hadharani Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa mujibu wa uandikishaji wa wapigakura ulivyofanyika nchi […]

The post CHADEMA Wazidi Kuikaba Koo Tume Ya Uchaguzi……Wasema Watatangaza Matokeo Ya Urais Kabla Ya Tume Kuyatangaza appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA MAMLAKA HIYO DUNIANI

Na Miza Kona - Maelezo Zanzibar  Wanafunzi wa vyuo na sekondari wameitaka jamii kuwa na mwamko wa kufuatilia taarifa zinazotolewa na Mamlaka ya hali ya Hewa pamoja na kutembelea vituo hivyo ili kuweza kujua na kupata taarifa za mwenendo wa hali ya hewa Nchini.  Kauli hiyo wameitoa leo huko katika ofisi za Mamlaka hiyo ziliopo Uwanja wa Ndege Zanzibar katika Maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani, wamesema jamii imekuwa haina mwamko mzuri katika kufuatilia taarifa za hali ya hewa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yapinga Rais Banda kufuta matokeo Malawi

Mahakama Kuu ya Malawi imepinga uamuzi wa Rais wa nchi hiyo, Joyce Banda kufuta matokeo ya awali yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi ya Malawi (MEC) kwa madai kuwa hana mamlaka hayo.

 

10 years ago

Vijimambo

KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA TUME YA UKIMWI AZIKWA LEO ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(wa tatu kulia akijumuika na Viongozi na Waislamu mbali mbali katika kumswalia aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar Marehemu Dkt.Omar Makame Shauri katika Msikiti wa Kidombo Wilaya ya Kaskazini A Unguja kabla ya mazishi yake leo,[Picha na Ikulu.]  Baadhi ya wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakilibeba jeneza la aliyekuwa katibu Mkuu Wizara ya Afya na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar

DSC_0733

Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Bahame Tom Nyanduga akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) leo mchana makao makuu ya ofisi za Tume, mtaa wa Barack Obama jijini Dar es Salaam.

DSC_0737

Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Nyanduga akitoa tamko kuhusu ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

Ushauri wa THBUB kwa Tume ya Uchaguzi Zbar.doc 

 

9 years ago

Vijimambo

Viongozi wa Vyama vya Siasa Zanzibar Wakiwa katika Ukumbi wa Salama Bwawani Zanzibar Wakisubiri Matokeo ya Kura ya Urais wa Zanzibar

Viongozi wa Chama cha CCM wakiwa katika ukumbi wa Salama Bwawani wakisubiri matokeo ya Kura za Wagombea Urais wa Zanzibar kutangwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Mhe Jecha Salim Jecha, Ukumbi wa Salama ndio kituo Kikuu cha kutangazia Matokeo ya Kura za Urais wa Zanzibar. Waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakiwa katika Ukumbi wa Salama wakisubiri kutaja kwa Matokeo ya Urais wa Zanzibar na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC.Viongozi wa Chama cha CUF wakiwa katika ukumbi wa Salama...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani