Mkwasa akiri kosa, wadau wamtetea
Wakati mashabiki wakimshushia lawama kocha wa Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Mkwasa kutokana na sare ya mabao 2-2 iliyopata Stars dhidi ya Algeria, makocha na wachambuzi wa soka nchini wamemtetea wakidai hapaswi kuangushiwa mzigo wa lawama kutokana na matokeo hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Waziri Chikawe akiri kosa
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, amekiri mbele ya viongozi wa serikali za vijiji saba vinavyozunguka mgodi wa dhahabu wa North Mara, kuwa serikali ilifanya makosa na...
10 years ago
Mwananchi19 Feb
Chid Benz sasa akiri kosa mahakamani
9 years ago
MillardAyo07 Jan
Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 …
Mtu wangu wa nguvu bado ninazo headlines za michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016, naomba nikusogezee video ya goli la Simba dhidi ya URA ya Uganda. Goli ambalo lilifungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 37, baada ya kupokea pasi safi kutoka kwa Mwinyi Kazimoto. Mtu wangu wa nguvu hii ni video ya sehemu ya […]
The post Kutana na video ya goli la Simba Vs URA na kosa kosa za mchezo huo Mapinduzi Cup 2016 … appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Tanzania Daima27 Apr
Wanakijiji Mvomero wamtetea Sumaye
BAADHI ya wakazi wa Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wamewajia juu wenzao wanaoendelea kusakama shamba la Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye lililopo Kijiji cha Mvomero kwa hoja walizoziita ni za...
10 years ago
Michuzi11 years ago
Tanzania Daima12 Dec
Kosa la ubakaji — 2
Katika sehemu ya kwanza ya makala hii ya ubakaji, nilisema kwamba kwa mujibu wa Sheria ya Kanuni ya Adhabu Penal code CAP 16 R.E2002; neno kubaka lina maana pana ukilinganisha...
10 years ago
MichuziGEPF WAANZA WIKI MAALUM (GEPF WEEK) KWA BONANZA LA WADAU WA MFUKO KUELEKEA MKUTANO MKUU WA SITA WA WADAU
10 years ago
VijimamboUFUNGUZI WA WARSHA YA WADAU KUHUSU “HUDUMA ZITOLEWAZO NA MAMLAKA YA HALI YA HEWA NA UAINISHAJI WA MAHITAJI YA WADAU”, HOTELI YA BLUE PEARL, DAR ES SALAAM, TANZANIA, TAREHE 24 MACHI, 2015
10 years ago
BBCSwahili03 Oct
Facebook yakiri kosa la 'udukuzi'