Mkwasa ametuma salamu TFF
KAMA ulikuwa miongoni mwa watazamaji Jumamosi ya wiki iliyopita katika Uwanja wa Taifa jijini Dar
Mwandishi Wetu
Raia Mwema
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI
10 years ago
Vijimambo:Rais Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa,
---
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha Chifu Abdu Adam Mkwawa, ambaye aliaga dunia juzi, Jumamosi, Februari 14, 2015 hospitalini mjini Iringa.
Katika salamu zake kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Amina Masenza leo, Jumapili, Februari 15, 2015, Rais Kikwete amesema kuwa amesikitishwa na kushtushwa na kifo cha Chifu Mkwawa ambaye amemwelezea kama “Chifu mnzuri, kiongozi na mtu wa...
10 years ago
MichuziRAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AMETUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA WAISLAMU WOTE NA BAKWATA KUFUATIA KIFO CHA SHEIKH MKUU WA TANZANIA MUFTI SHEIKH ISSA BIN SHAABAN SIMBA
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulucommpress@googlemail.comWebsite : www.ikulu.go.tz Fax: 255-22-2113425
PRESIDENT’S OFFICE, STATE HOUSE, 1 BARACK OBAMA ROAD, 11400 DAR ES SALAAM.Tanzania. TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Waislamu wote nchini na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)) kufuatia kifo...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
TFF yampongeza Mkwasa
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limetuma salamu za pongezi kwa aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa ‘Master’ kwa kupata nafasi ya kuwa msaidizi wa Mholanzi Hans van Pluijm katika...
9 years ago
TheCitizen10 Oct
Kudos to the TFF, but Mkwasa shouldn’t relax
9 years ago
Habarileo04 Oct
TFF yamtaka Mkwasa kusuka, kunyoa
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limemtaka kocha wa muda wa timu ya taifa Taifa Stars Charles Mkwasa kufanya maamuzi kama atabaki kuwa kwenye timu hiyo ama Yanga. TFF ilimpa Mkwasa nafasi ya kuwa kocha wa muda wa Stars baada ya kumfuta kazi Mart Nooij Julai mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi29 Jun
MTAZAMO: TFF inataka mafanikio ya mkato kwa Mkwasa
11 years ago
MichuziTFF YATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI MSIBA WA KANALI MWANAKATWE
Kwa mujibu wa binti wa marehemu, Sophia, baba yake alianguka bafuni nyumbani kwake Mbezi Beach ambapo alikimbizwa katika Hospitali ya Lugalo ambapo ndipo umauti ulipomfika wakati madaktari wakimpatia...
10 years ago
VijimamboRAIS TFF ATUMA SALAMU ZA POLE KWA WAHANGA WA MAFURIKO
Katika salam zake kupitia kwa Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, Mecky Sadik, Malinzi amesema familia zimepoteza makazi, miundombinu ya usafiri na michezo imeharibika na hata kuwa katika hali ya kutotumika, wanawake watoto, familia, shughuli za kiuchumi na kimichezo...