Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKWASA ASEMA STARS IPO KAMILI


Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa amesema vijana wake wapo tayari kuwavaa Nigeria Septemba 05, 2015 katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa fainali za AFCON mwaka 2017. Mkwasa ambaye yupo nchini Uturuki na kikosi cha timu ya Taifa kambini kwa mazoezi ya takriban wiki moja, amesema vijana wameonyesha mabadiliko makubwa baada ya kupata wiki moja ya mazoezi ya pamoja. “Mazoezi wanayofanya hapa yamewajenga stamina, unaweza kuona...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MKWASA ASEMA STARS IPO TAYARI KUWAVAA NIGERIA KESHO

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro, Charles Mkwasa (pichani) amesema kikosi chake kipo tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Nigeria kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika mwaka 2017.Akiongea na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa TFF uliopo Karume, Mkwasa amesema vijana wake wapo katika hali nzuri kuelekea kwenye mchezo huo wa kesho ambao ni muhimu kwa Taifa Stars.“Tumefanya mazoezi kwa takribani siku kumi,...

 

9 years ago

Bongo5

Lionel Messi ashinda tuzo nyingine, orodha kamili ipo hapa

Tuzo

Superstar wa klabu ya Barcelona, Lionel Messi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2015 (Globe Soccer Awards) inayotolewa kila mwaka.

Tuzo
Lionel Messi akipokea tuzo yake ya heshima ya mchezaji bora wa mwaka kutoka Globe Soccer, Dubai

Globe Soccer Awards 2015 zilizotolewa huko Dubai na ni tuzo maalum kwa ajili ya wanasoka, viongozi bora wa klabu, wakala bora, kocha bora.

Tuzo-3
Legend wa Italia Andrea Pirlo alishinda tuzo ya heshima baada ya Globe Soccer kutambua mchango wake kwenye soka

Ni tuzo...

 

9 years ago

MillardAyo

Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa …

Ni kawaida kila mwaka kufanyika kwa mashindano ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar, kwa mwaka 2016 michuano hiyo inafanyika kama kawaida. Kombe la Mapinduzi kwa sasa Bingwa mtetezi wa Kombe hilo ni klabu ya Simba. Jumapili ya January 3 2016. Hii ndio ratiba kamili mtu wangu ya michuano ya Kombe la Mapinduzi. CHANZO CHA HII […]

The post Burudani inahamia Zanzibar, Kombe la Mapinduzi 2016 Yanga, Azam FC na Simba ndani, ratiba kamili ipo hapa … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

TheCitizen

Mkwasa: Stars can still advance

The national soccer team head coach, Charles Mkwasa, believes that his side will upset Algeria in Algiers tomorrow and book their place in group stage of the 2018 World Cup qualifiers.

 

9 years ago

TheCitizen

Mkwasa salutes Stars players

The national soccer team (Taifa Stars) head coach Boniface Charles Mkwasa has hailed his players for their stunning performance against the Super Eagles in the 2017 AFCON Qualifying match held at the National Stadium in Dar es Salaam on Saturday.

 

9 years ago

Raia Tanzania

Mkwasa asifia kiwango Stars

KOCHA wa Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ Boniface Mkwasa ameelezea kufurahishwa na matokeo waliopata juzi katika mchezo wa kufuzu kucheza fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) dhidi ya Nigeria katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Timu hizo zilitoka sare ya 0-0. Stars wapo nafasi ya tatu katika kundi D baada kupata pointi moja katika michezo miwili waliocheza. Awali walicheza na Misri na kufungwa mabao 3-0 ugenini.

Mkwassa alisema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na kikosi...

 

9 years ago

TheCitizen

Mkwasa relishes Stars progress

Taifa Stars coach Charles Mkwasa is pleased with the preparations of the national team ahead of their 2018 World Cup qualifier against Algeria.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkwasa kupewa mikoba ya Stars ?

Shirikisho la soka nchini Tanzania lipo mbioni kumtaja kocha atakayerithi mikoba ya aliyekuwa kocha wa Stars, Mdachi Mart Nooij.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani