Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MLANGUZI MKUU WA MADAWA YA KULEVYA BRAZIL AKAMATWA

Mlanguzi mkuu wa madawa ya kulevya Brazil, Mario Sergio Machado Nunes 'O Goiano'  akiwa mikononi mwa wanausalama. Mario Sergio Machado Nunes akiwa chini ya ulinzi. wanausalama nchini Brazil baada ya kumtia nguvuni O Goiano. WANAUSALAMA nchini Brazil wamemtia mbaroni mmoja wa walanguzi wakubwa wa madawa ya kulevya nchini humo. Mario Sergio Machado Nunes, ambaye pia anafahamika kama 'O Goiano' amekuwa mafichoni tangu atoroke...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Muuzaji madawa ya kulevya mtoro akamatwa Brazil

Muuzaji mkubwa wa madawa ya kulevya aliyetoroka Gerezani miaka 2 iliyopita amekamatwa na polisi Brazil

 

10 years ago

GPL

CHID BENZ AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AIRPORT


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz'. MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Rashid Makwiro 'Chid Benz' amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya heroine na bangi akiwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, leo. Akizungumza Kamanda wa Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, SACP, Alfred Nzowa, amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa msanii...

 

9 years ago

Michuzi

Mwanasheria Mkuu wa Serikali alia na mtuhumiwa wa madawa ya kulevya

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), George Masaju amewasilisha waraka Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam akitaka kushikiliwa na kuzuiwa kwa mali zote za mtuhumiwa wa madawa ya kulevya, aliyejulikana kwa jina la Muharami Abdallah, maarufu kwa jina la Chonji na mkewe, Mwalibora Nyanguri kuhamisha umiliki, kupangisha au kuombea mikopo.
Maombi hayo dhidi ya Muharami na mkewe yaliwasilishwa kwa hati ya dharura mahakamani hapo Septemba 13, mwaka huu mbele ya Jaji Wilfred...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014

PIX 1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

PIX 2

Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...

 

11 years ago

GPL

MADHARA YA MADAWA YA KULEVYA-2

Madawa ya kulevya aina ya bangi. WIKI iliyopita tulijadili kwa urefu madhara ya madawa ya kulevya kiafya.
Tulifafanua kwa urefu kuhusu madawa aina ya kokaine na heroine na tukataja madhara yanayowapata watumiaji wa mihadharati hiyo.
Leo tunaendelea kuchambua mimea aina ya bangi na mirungi ambayo hapa nchini inahesabika kuwa ni madawa ya kulevya. Bangi
Bangi ina madhara kiafya na ndiyo maana serikali imeupiga marufuku mmea...

 

10 years ago

GPL

MADAWA YA KULEVYA: DIAMOND KIMENUKA

Stori:  Shakoor Jongo na  Makongoro Oging’
NIkweli kimenuka! Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ yupo kikaangoni, habari zinadai kwamba kila anaponyanyua miguu, kikosi cha kupambana na kuzuia madawa ya kulevya nchini chini ya kamishna wake, Godfrey Nzowa nao wananyanyua miguu yao kumfuatilia, Amani limesheheni. Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akipozi.
Habari za...

 

11 years ago

GPL

MADAWA YA KULEVYA YAKAMATWA GEREZA LA KEKO

PIPI 60 za madawa ya kulevya aina ya heroine yanayokadiriwa kuwa na thamani ya shilingi milioni 60 yanadaiwa kukamatwa ndani ya Gereza la Keko jijni Dar es Salaam baada ya mtu mmoja kuingia nayo akiwa ameyameza. Madawa ya kulevya. Kwa mujibu wa chanzo, mtu mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Mashujaa Udugu Matata, aliingia gerezani humo Machi 21, mwaka huu akitokea kusomewa shitaka la kukutwa na madawa ya kulevya katika Mahakama...

 

10 years ago

Bongo Movies

Nisha Akana Kukamatwa na Madawa ya Kulevya

Msanii wa tasnia ya Bongo movie nchini Salama Jabu alimaarufu kama Nisha ameibuka na kuwatoa hofu watanzania pamoja na mashabiki wake kuwa hajakamatwa na madawa ya kulevya kama ambavyo taarifa zinavyosambaza katika mitandano ya kijamii.

Nisha kwa sasa yupo nchini China amekanusha taarifa hizo kupitia ukurasa wake wa Instagram baaada ya kuona akiulizwa sana na kupewa pole na watu wake wa karibu. Nisha amesema huwa si kawaida yake kujibu au kutolea ufafanuzi mambo ambayo huwa ni uzushi lakini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani