Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MLINZI No.1 KOPLO DOG DOMO BAYA WA RAS MAKUNJA AMFUKUZIA WAGENI BOSS !

 Kuishi kwingi kuona mengi ! katika hali ya utata juzi kati wageni waliokwenda kumtakia heri ya siku ya kuzaliwa mwanamuziki mahili na kiongozi wa Ngoma Africa band a.k.a FFU Ughaibuni kamanda Ras Makunja kule ujerumani walijikuta wakitimuliwa mbio na mlinzi namba one Koplo Dog Domo Baya (pichani)  wa Kamanda huyo. Mbwa huyo aliyechoka lawama za boss wake kuwa amekuwa mzembe kazini , siku ya jumamosi 19 Septemba 2015 majira ya saa 2.00 usiku aliamua kupiga doria ndani ya makao ya himaya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBWA DOMO BAYA LAWAMANI KWA KUMTOROSHA BUNDI WA KAMANDA RAS MAKUNJA

Jumamosi ya 6 Juni 2015 inasemekana haikuwa nzuri katika kambi ya FFU -ughaibuni baada ya msimu wa joto kuanza nchini ujerumani, kikosi maalumu cha kuangalia wanyama kiliungana na Kamanda ras Makunja kumsaka Bundi wa mkuu huyo wa Ngoma Africa Band, Bundi maarufu kwa jina la udi udi alichomoka katika banda maalumu katika makao ya Ras Makunja marufu kama himaya ya Anunnaki Alien.
 Kutoroka kwa Bundi huyo kumesababishwa na mbwa wa kamanda aitwae Kopro Dogi Domobaya, mbwa huyo anashutumiwa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

MBWA DOMO BAYA LAWAMANI KWA KUMTOROSHA BUNDI WA KAMANDA

Jumamosi ya 6 Juni 2015 inasemekana haikuwa nzuri katika kambi ya FFU -ughaibuni baada ya msimu wa joto kuanza nchini ujerumani ,kikosi maalumu cha kuangalia wanyama kiliungana na Kamanda ras Makunja kumsaka Bundi wa mkuu
huyo wa Ngoma Africa Band,Bundi maarufu kwa jina la udi udi alichomoka katika
banda maalumu katika makao ya Ras Makunja marufu kama himaya ya Anunnaki Alien, Kutoroka kwa Bundi huyo kumesababishwa na mbwa wa kamanda aitwae Kopro Dogi Domobaya, mbwa huyo anashutumiwa kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

GWANDA ZA KAMANDA RAS MAKUNJA

Inasemekana ndie msanii anayepiga gwanda za kutisha ,na sheria ya nchi ya ujerumani inamuruhusu, kwa hivyo ajafunja sheria ya bongoGwanda za mkuu wa kikosi cha FFU-ughaibuni Kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band ambaye pia ni mmliki wa himaya ya Viumbe wa ajabu "Anunnaki Empire" yenye makao yake kule Ujerumani,gwanda za mkuu huyo hazina uhusiano wowote na JWTZ,na zoezi linaloendeshwa hapa bongo la kuwasaka wasanii wenye
mavazi ya kijeshi ,kamanda Ras Makunja na kikosi chake haliwahusu...

 

9 years ago

Vijimambo

HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA

Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam,akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja),Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja mtunzi na mwimbaji mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday !!!!! yakepia unaweza kuburudika na...

 

10 years ago

Michuzi

HEPI BESIDEI YA KUZALIWA KAMANDA RAS MAKUNJA

Siku kama ya leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU ya kule ujerumani, kamanda Ras Makunja (pichani) alizaliwa mjini Dar-es-Salaam, akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja leo ndio Happy Birthday !!!!! yake pia unaweza kuburudika na kusherekea naye katika kambi yao FFU-Ughaibuni at http://www.ngoma-africa.com au www.ngoma-africa.com

 

10 years ago

Vijimambo

Nidhamu kazini ! kina Ras Makunja wakiwahi kibaruani

Tupo mwanzoni mwa mwaka 2015,Lakini swala la kuwahi kazini na nidhamu katika kazi ni muhimu sana sana kama tuwaonavyo wenzetu akina Ras Makunja (pichani) kabla ya muziki kuanza lazima nidhamu iwepo pamoja kuwahi kazini ! pia wenzetuhawa FFU aka kina ras makunja ndio watumishi wa umma wanaongoza kwa kupigavita vitambi au ugonjwa wa kufura minyama nyama ya uzembe mwilini.siorahisi kuwaona watumishi wa umma hawa kuwa na vitambi..lazima tuige mfanobora kutoka kwao

 

10 years ago

Vijimambo

KICHEKO CHA KAMANDA RAS MAKUNJA WA FFU KULIKONI ?

Kia aliyemuzunguka kamanda Ras Makunja wa Ngoma Africa band aka FFU-ughaibunialishutushwa na kicheko cha kamanda ! watu tunajiuliza kulikoni kamanda kafurahi mpaka meno yote yanaonekana !Labda tujiunge nao FFU ili kujua zaidi kulikoni kamanda kacheka sana at www.ngoma-africa.com

 

9 years ago

Michuzi

HAPPY BIRTHDAY KAMANDA RAS MAKUNJA WA FFU UGHAIBUNI

Leo 19 September ndio siku ya kuzaliwa mkuu wa bendi ya Ngoma Africa aka FFU-Ughaibuni  ya kule ujerumani, mwanamuziki Ebrahim Makunja aka kamanda Ras Makunja aka mkuu wa viumbe wa ajabu "Anunnaki Alien" alizaliwa mjini Dar-es-Salaam.
Akiwa mtoto wa kwanza wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja Ngayonga (RIP) na Bi.Moza Hassan Seifu Mpili (Mama Makunja), Mwanamuziki Kamanda Ras Makunja ni mtunzi na mwimbaji  mahili wa muziki wa dansi leo ndio Happy Birthday  yake.
Unaweza kuburudika na...

 

9 years ago

Michuzi

Kamanda Ras Makunja Akihojiwa na Radio Zenj FM kuhusu uchaguzi

Mwanamziki Ebrahim Makunja aka Kamanda Ras Makunja mkuu kikosi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni,amehojiwa na Radio Zenj Fm siku ya 8 Oktoba 2015 kuhusu mtazamo wa Watanzania walio nje ya nchi kuelekea uchaguzi mkuu. msikilize katika audio

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani