Mmiliki wa hoteli ya Snow Crest aamuriwa kulipa zaidi ya bilioni 3
Picha ya muonekano wa hoteli ya Snow Crest.
Na Mwandishi wetu
Mahakama kuu nchini kitengo cha biashara kanda ya Arusha imemuamuru mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa hoteli ya Snow Crest ya jijini Arusha, Wilfred Tarimo pamoja na familia yake kumlipa jumla ya $ 1.7 sawa na zaidi ya sh,3 bilioni mkurugenzi wa kampuni ya Grand Alliance Ltd, James Ndika kama malipo ya awamu ya kwanza ya kununua hisa ndani ya hoteli hiyo.
Mbali na agizo hilo mahakama hiyo pia imeagiza washtakiwa wanne kati...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo25 Aug
Mmiliki hoteli atakiwa kulipa bilioni 3/-
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Biashara Kanda ya Arusha imeamuru mfanyabiashara ambaye ni mmiliki wa Hoteli ya Snowcrest ya jijini hapa, Wilfred Tarimo na familia yake kumlipa Dola za Marekani milioni 1.7 (zaidi ya Sh bilioni 3) Mkurugenzi wa Kampuni ya Grand Alliance Ltd, James Ndika kama malipo ya awamu ya kwanza ya kununua hisa ndani ya hoteli hiyo.
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Zinduka Mwanamke yaanda Fashion Show jijini Arusha katika hoteli ya kitalii ya Snow Crest
Magwiji wa ubunifu wa nguo na wataalamu wa ushauri wa ngozi wanapenda kuwataarifu wakazi wa jiji la Arusha kuwa tarehe 9/8/2015 kutakuwa na uzinduzi wa tawi la Duka la Vipodozi la Flora Show itakayofanyika siku ya Jumamosi katika hoteli ya kitalii ya Snown Crest
Katika uzinduzi huo pia utapambwa na show ya kukata na shoka ambapo magwiji wa ubunifu wa Mavazi watonyesha mavazi ya aina mbalimbali ikiwemo ya harusi ,vazi la harusi ya kimaasai pamoja na vazi lililompa ushindi Saida Kesy
Mtaalamu...
10 years ago
AllAfrica.Com01 Sep
Court Orders Snow Crest Owner to Pay US $1.7 Million to Dar Businessman
Court Orders Snow Crest Owner to Pay US $1.7 Million to Dar Businessman
AllAfrica.com
The owner of Snow Crest Hotel in Arusha has been ordered by the High Court to refund $.1.7 million (about Sh. 3 billion) to a person who reportedly purchased the hotel some years ago but later backed out. The Commercial Division of the Court in its ruling ...
5 years ago
MichuziWALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA
Na Karama Kenyunko Michuzi TV,
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.
Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo, Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...
10 years ago
BBCSwahili24 Sep
Mmiliki wa Alibaba atajirika zaidi
10 years ago
Vijimambo26 Jan
SNOW KUBWA INAKUJA PWANI YA MASHARIKI YA MAREKANI, ZAIDI YA NDEGE 2,000 ZASITISHA SAFARI ZAKE
Miji itakayoathirika ni New York City, Boston, Providence, Hartford na Portland kikubwa kilichoelezewa hapa ni upepo mkali utakaoambatana na tufani hii ya theluji watu zaidi ya milioni 28 wataathirika na tufani...
10 years ago
Dewji Blog23 Feb
Serikali yapata sh. bilioni 15 za kulipa madeni ya Mahindi
SERIKALI Serikali imepata mkopo wa sh. bilioni 15 ambazo zitatumika kulipa kiasi cha madeni ya mazao ya nafaka ambayo wakulima wanaidai kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA).
Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwa nyakati tofauti wakati akizungumza na wananchi wa Mkoa wa Iringa akiwa kwenye ziara ya kikazi ya kukagua maendeleo katika mkoa huo.
Akizungumza na wananchi mara baada ya kukagua Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo (SACCOS) cha Mazombe kilichopo Ilula...
11 years ago
Mwananchi14 Jul
IPTL yamtaka Kafulila kulipa fidia ya Sh310 bilioni
11 years ago
Mwananchi18 Jun
Serikali kulipa riba Sh5 bilioni deni la miezi sita