Mmiliki wa Alibaba atajirika zaidi
Mmiliki wa kampuni ya uuzaji wa bidhaa kupitia Internet Alibaba atajirika zaidi China kufuatia toleo la hisa za kampuni hiyo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog26 Aug
Mmiliki wa hoteli ya Snow Crest aamuriwa kulipa zaidi ya bilioni 3
Picha ya muonekano wa hoteli ya Snow Crest.
Na Mwandishi wetu
Mahakama kuu nchini kitengo cha biashara kanda ya Arusha imemuamuru mfanyabiashara ambaye pia ni mmiliki wa hoteli ya Snow Crest ya jijini Arusha, Wilfred Tarimo pamoja na familia yake kumlipa jumla ya $ 1.7 sawa na zaidi ya sh,3 bilioni mkurugenzi wa kampuni ya Grand Alliance Ltd, James Ndika kama malipo ya awamu ya kwanza ya kununua hisa ndani ya hoteli hiyo.
Mbali na agizo hilo mahakama hiyo pia imeagiza washtakiwa wanne kati...
10 years ago
Vijimambo12 Mar
Alibaba invests $200m in Snapchat
Chinese internet giant Alibaba has invested approximately $200m (£133m) in a stake in messaging application Snapchat, the BBC understands. That values the four-year old firm at nearly $15bn (£10bn)makes it one of the world's most valuable start-ups. Snapchat allows users to send text and picture messages which disappear in 10 seconds. Snapchat says its users send 700 million snaps daily, recently...
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Kaseba amkalisha Alibaba kwa ‘KO’
BONDIA Japhet Kaseba, juzi alifanikiwa kutetea mkanda wa ubingwa wa taifa baada ya kumchapa bingwa wa Kanda ya Kaskazini, Alibaba Ramadhan kwa ‘KO’, raundi ya nne. Kaseba alianza mchezo huo...
11 years ago
Tanzania Daima07 Apr
Alibaba amkalisha Mbunda kwa KO
BONDIA Alibaba Ramadhani wa mkoani Kilimanjaro, ameendelea kuupa sifa mkoa huo katika medani ya ngumi, baada ya kufanikiwa kutwaa ubingwa wa taifa, uzito wa kati kilo 76, baada ya kumpiga...
11 years ago
Tanzania Daima21 Dec
Kaseba, Alibaba kupima uzito leo
MABONDIA Japheth Kaseba wa jijini Dar es Salaam na Alibaba Ramadhani wa Arusha, leo majira ya saa 4 asubuhi watapima afya na uzito katika Ukumbi wa Hoteli ya Friends Corner...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Kaseba, Alibaba kumaliza ubishi leo
MABONDIA Japheth Kaseba wa Dar es Salaam na Alibaba Ramadhani wa Arusha, leo jioni watapanda ulingoni katika ukumbi wa Friends Corner, kumaliza ubishi wa nani zaidi baina yao kwa kusukuma...
11 years ago
GPLKASEBA AMCHAKAZA ALIBABA KWA K.O RAUNDI YA 4
11 years ago
MichuziBONDIA ALIBABA RAMADHAN WA KILIMANJARO ALIVYOMTWANGA ROY MBUNDA WA RUVUMA
Bondia Alibaba Ramadhan akiwa na mkanada wake wa Ubingwa baada ya kumtwanga Bondia Roy Mbuta kwa KO katika mchezo uliopiga jana.Pichani ni Bondia Alibaba akipata picha ya kumbukumbu na mgeni rasmi pamoja na wadhamini. Akapongezwa Alibaba kwa ushindi na sifa aliyoupatia mkoa wa Kilimanjaro.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
MichuziMABONDIA ALIBABA NA ROY MBUNDA WAFANYIWA VIPIMO SASA KUPAMBANA JIONI YA LEO YMCA MOSHI
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10