Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnafuta mila, desturi zetu, mnaziita za kizamani

Kwa takriban wiki moja mwanzoni mwa mwezi huu, tulitembelewa na wanakikundi cha muziki wa kijadi kutoka Irani. Aina ya muziki wa kikundi hicho ilikuwa mahadhi ya muziki wa pwani, wenyewe wakiita Hirouni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

VIJANA WA KIMASAI WAENDELEA KUDUMISHA MILA NA DESTURI

Mgeni rasmi Mhe. Peter Toima Kiroya wa pili kushoto mkazi wa Manyara Wilayani Simanjiro ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma akiwaongoza vijana wa kimasai kundi la Korianga kuingia kwenye boma kwa ajili ya kushiriki sherehe ya unywaji wa maziwa ikiwa ni mojawapo ya hatua ya makuzi kwa vijana jana mkoani Manyara, wapili kulia ni Mke wa Mgeni rasmi Bi. Filomena Toima Kiroya. Mgeni rasmi Mhe. Peter Toima ambae pia ni Mkuu wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma...

 

11 years ago

Mwananchi

SIKU YA WANAWAKE: Shida ya mwanamke ni mila na desturi -Dk Bisimba

>Dunia hii leo inasherekea Sikukuu ya Wanawake, ambayo huadhimishwa Machi 8 ya kila mwaka. Kaulimbiu ya mwaka huu ni Chochea Mabadiliko, Kuleta Usawa wa Kijinsia.

 

11 years ago

Dewji Blog

Safari ya Kinana kutoka Nyamisati mpaka Mafia kwa boti ya kizamani

16

Ilikiwa ni safari ngumu lakini yenye mafunzo mengi nikiwa nimepanda kwenye boti ya Doria wakati wa msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake tukitokea Nyamisati kuelekea Mafia ambapo katibu Mkuu huyo yupo katika ziara ya kikazi ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akikagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo, Nilipangiwa kupanda boti hii ya mwendo...

 

11 years ago

GPL

SAFARI YA KINANA KUTOKA NYAMISATI MPAKA MAFIA KWA BOTI YA KIZAMANI‏

Ilikiwa ni safari ngumu lakini yenye mafunzo mengi nikiwa nimepanda kwenye boti ya Doria wakati wa msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na msafara wake tukitokea Nyamisati kuelekea Mafia ambapo katibu Mkuu huyo yupo katika ziara ya kikazi ya mikoa ya Pwani, Tanga na Iringa akikagua miradi ya mendeleo inayotekelezwa na serikali kupitia ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 na kuhimiza wananchi kushiriki katika...

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Kone akemea mila potofu

Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk Paseko Kone amewaonya wale wote wanaokosoa uumbaji wa Mungu kwa kisingizio cha kutekeleza mila na desturi za makabila yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mila zazua mtafaruku makaburini

Matafaruku mkubwa umetokea baada ya ndugu wa marehemu, kumpasua tumbo ndugu yao na kumuwekea kifaranga cha kuku wakati akizikwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wachaga wa Kilema na mila ya kufukua maiti

Ni jambo linaloweza kuwa geni kidogo kwa baadhi ya makabila, lakini kwa baadhi ya Wachaga wa Kilema mkoani Kilimanjaro kuna mila ambazo kwa makabila na jamii nyingine zinaweza kuwa za kushangaza.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mila za Afrika kusini katika mazishi

Kwa mila za SA, mtu wa heshima ya juu akifariki hufanyiwa tambiko za kumisfu, basi je Nelson Mandela alipewa heshima gani?

 

10 years ago

Mwananchi

Kibagha, mila ‘inayomjengea’ mwanamume ujasiri

Katika taifa lenye zaidi ya makabila 120, si ajabu kuona mila  tofauti nyingine zikiwa na mambo yanayoshangaza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani