Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MNEC HAJI JUMAA AMFAGILIA MAKONDA KWA KUPIGANIA KUNDI LA VIJANA

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC Pwani ),Haji Jumaa amempa tano ,mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa kupigania kero mbalimbali ,ikiwemo hatua aliyochukua kukemea baadhi ya askari wa Jiji hilo kuacha kuwabugudhi waendesha bodaboda kwa kuelekeza mamlaka husika kuwaruhusu kuingia Mjini.
Hatua hiyo itawezesha kusaidia zaidi ya familia milioni moja kwa wastani wa watu 10 kwa kila muendesha bodaboda, ,kwa idadi ya abiria wanaotumia bodaboda zaidi ya laki tano kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

MNEC Ikungi awataka viongozi wa dini kukemea maovu kwa vijana

DSC00613

Mjumbe wa halmashauri kuu (NEC) CCM taifa wilaya ya Ikungi, Jonathan Njau, akizungumza na viongozi wa makanisa ya Free Pentekoste, KKKT na Roman katoliki kijiji cha Kipumbuiko muda mfupi kabla ya kuwakabidhi msaada wa mifuko 60 kwa ajili ya ujenzi, uboreshaji wa majengo ya makanisa yao.

Na Nathaniel Limu, Ikungi

VIONGOZI wa madhehebu ya dini jimbo la Singida mashariki mkoa wa Singida, wameombwa kuwaelimisha na kuwahimiza vijana kuishi maisha mema na ya uadilifu, ili kupunguza kasi ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MNEC awataka vijana kufanya kazi

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Tanga (MNEC), Kasimu Kisauji, amewataka walezi na wazazi wilayani humo kuwahimiza vijana kufanya kazi kwa bidii na kuacha...

 

11 years ago

Habarileo

Ashauri wajumbe Bunge la Katiba kupigania vijana

WAJUMBE watakaopata nafasi ya kuingia katika Bunge la Katiba, wameshauriwa kuhakikisha wanapigania masuala ya vijana . Mwenyekiti wa Taasisi ya Vijana nchini (TYVA), Elly Ahimidiwe alidai katika rasimu ya Katiba mpya, kijana hajafafanuliwa kwa mapana zaidi, hali inayoonesha kundi hilo limetengwa.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA:Vijana mpuuzeni Makonda

BARAZA la Vijana CHADEMA (BAVICHA), limewataka vijana wampuuze Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda kwa kujifanya msemaji wa vijana nchini. Kauli hiyo, ilitolewa jijini...

 

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

Kundi la Vijana ambao ni marafiki wa Lowasa Kanda ya Kaskazini.Mratibu wa Marafiki wa Lowasa kanda ya Kaskazini Noel Nnko akitoka kufanya usajili kaba ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.Mratibu wa marafiki wa Lowasa Noel Nnko akiagwa na mdau wa utalii kanda ya kaskazini Aggrey Makia kabla kundi la vijana ambao ni marafiki wa Lowasa wanaopanda mlima Kilimanjaro.
Baadhi ya vijana .Mratibu wa marafiki wa Lowasa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya...

 

10 years ago

Michuzi

KUNDI LA VIJANA MARAFIKI WA LOWASSA WAPANDA MLIMA KILIMANJARO

Mratibu wa marafiki wa Lowassa kanda ya kaskazini ,Noel Nnko akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro.Safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro ikanza.Askari wa hifadhi akiwapekua wasaidizi wa watalii kabla ya kuanza safari ya kupanda mlima Kilimanjaro.Kundi la vijana ambao wanajitaja kama marafiki wa Lowassa wakiwa katika njia ya kuanzia kupanda Mlima Kilimanjaro katika lango la Marangu. Picha zaidi BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani