Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAVICHA:Vijana mpuuzeni Makonda

BARAZA la Vijana CHADEMA (BAVICHA), limewataka vijana wampuuze Katibu wa Uhamasishaji na Chipukizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda kwa kujifanya msemaji wa vijana nchini. Kauli hiyo, ilitolewa jijini...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAKONDA AKUTANA NA VIJANA KUTATUA TATIZO LA AJIRA

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na vijana wahitimu wa vyuo waliohudhuria mkutano huo. Makonda akionesha msisitizo wa jambo.    Vijana wahitimu wa vyuo…

 

11 years ago

Michuzi

RASIMU YA KATIBA IMEWASAHAU VIJANA - PAUL MAKONDA

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,Paul Makonda akibadilishana mawazo na Mjumbe mwenzie,Mh. Godbress Lema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Mimi ni Kijana, ninayoyazungumza,ninayoyafanya yana reflect uhalisia huo. Hivyo kwa wito wa Ujana najikuta nashawishika sana kuongeza umakini katika masuala yahusuyo vijana hasa kwenye Katiba.
Ni ajabu lakini kweli kuwa sehemu inayotaja juu ya Haki na Wajibu wa Vijana katika Rasimu yote ni Ibara ya 44 tu, tena inataja kwa ujumla wake bila hata...

 

5 years ago

Michuzi

MNEC HAJI JUMAA AMFAGILIA MAKONDA KWA KUPIGANIA KUNDI LA VIJANA

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI

MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (MNEC Pwani ),Haji Jumaa amempa tano ,mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kwa kupigania kero mbalimbali ,ikiwemo hatua aliyochukua kukemea baadhi ya askari wa Jiji hilo kuacha kuwabugudhi waendesha bodaboda kwa kuelekeza mamlaka husika kuwaruhusu kuingia Mjini.
Hatua hiyo itawezesha kusaidia zaidi ya familia milioni moja kwa wastani wa watu 10 kwa kila muendesha bodaboda, ,kwa idadi ya abiria wanaotumia bodaboda zaidi ya laki tano kwa...

 

11 years ago

Habarileo

Kinana- Wananchi mpuuzeni Tundu Lissu

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekemea vitendo vya baadhi ya wabunge kuwakataza wananchi kuchangia miradi mbalimbali ya maendeleo katika maeneo yao kwani tabia hiyo inadhoofisha juhudi za Serikali kupambana na umasikini.

 

5 years ago

Michuzi

RC MAKONDA ATANGAZA DAWA KWA WAKANDARASI WANAOKIUKA TARATIBU ZA MIKATABA * RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo Na Leandra Gabriel, Michuzi TV MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya w

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari juu ya  kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao watapitia mikataba yote ya miradi mbalimbali iliyosainiwa mkoa wa Dar es salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa globu ya jamii)
* RC Makonda asema hakuna mgonjwa wa Covid 19, awataka wananchi kufuata maelekezo
Na Leandra Gabriel, Michuzi TVMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametangaza kamati ya watu 13 kutoka Serikali na sekta binafsi ambao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

BAVICHA waivaa serikali

BARAZA la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Mendeleo (BAVICHA), limelaani kitendo cha wanafunzi wa darasa la saba kufaulu mitihani yao na kushindwa kupangiwa shule kwa ajili ya kuendelea na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Uchaguzi wa BAVICHA watangazwa

JOHN HECHE BAVICHA KIKAO CHA KAMATI UTENDAJI BAVICHA PIX NO 1

Mwenyekiti wa Taifa, Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA), John Heche.(Picha na Maktaba)

Na Mwandishi wetu

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA), John Heche, ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Septemba 10, mwaka huu kutokana na umri wake kuwa mkubwa.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam, Heche alisema anaheshimu Katiba ya chama hicho ambapo kutokana na umri wake kuvuka miaka 30, hatagombea tena nafasi...

 

11 years ago

Mwananchi

Bavicha wakesha wakichaguana

>Ni mnyukano wa vuta nikuvute. Hali hiyo ilijidhihirisha juzi na jana katika uchaguzi mkuu wa Baraza la Vijana wa Chadema (Bavicha), uliomalizika katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam kwa Paschal Patrobas kuibuka mshindi wa nafasi ya uenyekiti.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani