Mniger Yanga afuzu vipimo
NA HUSSEIN OMAR, DAR ES SALAAM
KIUNGO mpya wa pembeni wa Yanga, Issoufou Boubacar Garba, amefuzu vipimo vya afya alivyofanyiwa jana katika Hospitali ya Temeke, jijini Dar es Salaam kabla ya kupewa mkataba wa kuitumikia klabu hiyo.
Jopo la madaktari lililoongozwa na Dk. Nassor Matuzya na mtaalamu wa viungo wa Hospitali ya Temeke, David Tesha, walisimamia kikamilifu zoezi la upimaji wa afya ya kiungo huyo ambaye amekuja nchini kusaka ulaji.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Matuzya alisema Garba...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ahJjIDDkNIk/XsUvdMq4WBI/AAAAAAALq-4/kYfpPpZw0OMxBQF3v0fAQ6xadJ_1g4G8QCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-20%2Bat%2B11.55.36%2BAM.jpeg)
WAKALA WA VIPIMO TUPO SEHEMU ZOTE, KUHAKIKISHA VIPIMO VINATUMIKA KWA USAHIHI-STELLA
Stella ameyasema hayo leo, May 20, 2020 jijini Dar es Salaam katika Maadhimisho hayo yenye Kaulimbiu ya Vipimo katika Biashara ya Kimataifa. “Tanzania ni nchi ambayo inafanya Biashara kubwa nchi mbalimbali, vipimo...
11 years ago
Habarileo09 Apr
Wakala wa Vipimo watahadharisha vipimo bandia
WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) umewataka watumiaji wa vipimo batili kuacha kutumia vipimo hivyo kwani vinadimimiza uchumi wa Watanzania na taifa.
9 years ago
Habarileo20 Dec
Pluijm matumaini kibao kwa kiungo Mniger
KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van Pluijm amesema ana imani na mchezaji mpya wa Niger Issoufou Garba kuwa atafanya vyema katika kikosi hicho kutokana na uwezo aliouonesha kwenye majaribio.
10 years ago
BBCSwahili19 Mar
Serena Williams afuzu nusu fainali
9 years ago
BBCSwahili26 Aug
Farah afuzu fainali za mbio za 5000m
9 years ago
BBCSwahili28 Aug
Asbel Kiprop afuzu kwa fainali-Beijing
11 years ago
Tanzania Daima22 Jun
Wanaume wakimbia vipimo
WANAWAKE wengi wa Tarafa ya Mwese katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, wanalazimika kujifungulia nyumbani kutokana na kunyimwa huduma kwenye kliniki baada ya kushindwa kwenda na waume zao kupimwa afya. Hayo yalielezwa...
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
Vipimo vipya vya Malaria TZ
11 years ago
Mwananchi10 May
Vipimo homa ya dengue vyaadimika