MNYAMA HOI TAIFA, AZAM YAAMBULIA SARE CHAMAZI
![](http://api.ning.com:80/files/VMB94olbxS3VX4CHlPtGb7IZG1UyZYKm1UA8rEv4loCDJNMM54E62hRnUzWcYvlPo7iY9xPWjV-Ch3HNV2beu-jYiWeVN8QP/SIMBA.jpg?width=650)
WEKUNDU wa Msimbazi, Simba SC 'Mnyama' leo wamepokea kichapo cha bao 3-2 kutoka kwa JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyopigwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Nao Azam FC waliokuwa wenyeji wa Tanzania Prisons wamelazimishwa sare ya bao 2-2 katika Uwanja wa Chamazi Complex jijini Dar.
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili21 Dec
Liverpool yaambulia sare kwa Arsenal
10 years ago
StarTV21 Oct
Man Utd yaambulia sare ya 2-2 na West Brom.
Ligi kuu ya England imeendelea jana usiku ambapo Manchester United ilijikuta ikibanwa mbavu na kushindwa kufurukuta ugenini kwa Westbromwich Albion na kutoka sare ya mabao 2-2 licha kwamba ilitawala mchezo huo.
Mchezo huo wa pekee kwa ratiba ya ligi hiyo ulishuhudiwa Man United ikishindwa kupata walau ushindi wake wa kwanza nje ya uwanja wake wa nyumbani tangu timu hiyo iwe chini ya kocha Louis Van Gaal.
Ni bao la Daley Blind katika dakika za mwisho za mchezo ambalo limeiokoa Manchester...
11 years ago
GPLMNYAMA HOI KWA MGAMBO!
11 years ago
GPLMNYAMA AUAWA TAIFA