Liverpool yaambulia sare kwa Arsenal
Liverpool wakiwa uwanja wa nyumbani Anfield, wamenusurika kupata kichapo toka kwa Arsenal kwa kupata sare ya goli 2-2.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Arsenal yafuzu,Liverpool yatoka sare
10 years ago
StarTV21 Oct
Man Utd yaambulia sare ya 2-2 na West Brom.
Ligi kuu ya England imeendelea jana usiku ambapo Manchester United ilijikuta ikibanwa mbavu na kushindwa kufurukuta ugenini kwa Westbromwich Albion na kutoka sare ya mabao 2-2 licha kwamba ilitawala mchezo huo.
Mchezo huo wa pekee kwa ratiba ya ligi hiyo ulishuhudiwa Man United ikishindwa kupata walau ushindi wake wa kwanza nje ya uwanja wake wa nyumbani tangu timu hiyo iwe chini ya kocha Louis Van Gaal.
Ni bao la Daley Blind katika dakika za mwisho za mchezo ambalo limeiokoa Manchester...
11 years ago
GPLMNYAMA HOI TAIFA, AZAM YAAMBULIA SARE CHAMAZI
11 years ago
GPLLIVERPOOL HOI KWA ARSENAL
5 years ago
MichuziMATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...
Yassir Simba, Michuzi Tv
MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.
Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari 23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...
10 years ago
GPLARSENAL YAPATA SARE
10 years ago
BBCSwahili05 Nov
Wenger akasirishwa na sare ya Arsenal
11 years ago
BBCSwahili13 Feb
Arsenal yatoka sare na Manchester United
9 years ago
BBCSwahili23 Oct
Liverpool waambulia sare Europa League