Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyukano bungeni



Serikali yaipa rungu polisi kudhibiti uhalifuusinde apongeza vinara wa vurugu kupigwaSadifa achafua hali ya hewa, Shekifu ang’aka
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA
MVUTANO kuhusiana na sakata la Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa  Ibrahim Lipumba, kukamatwa na kufunguliwa mashitaka, umeendelea kutikisa bungeni.
Jana, wabunge walipata fursa ya kujadili suala hilo, ambapo wengi waliwashutumu wenzao wa upinzani kutokana na kuchochea vurugu na kulipaka matope jeshi la polisi pindi linapochukua...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mnyukano mpya CCM

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiko njia panda baada ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, kuwarejesha mawaziri ‘mizigo’ waliopendekezwa na chama chake wang’olewe, makundi ya urais yameanza kupigana vikumbo kuwania...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyukano uchaguzi CHADEMA

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa orodha ya wanachama wake waliojitosa kugombea nafasi mbalimbali za taifa katika mabaraza huku mnyukano mkali ukiwa nafasi za mwenyekiti, makamu mwenyekiti, katibu mkuu,...

 

9 years ago

Mtanzania

Mnyukano Spika wa Bunge

MTZ Alhamisi new july.indd*Dk. Nchimbi, Sitta wachukua fomu na kurudisha

NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM

VITA ya kuwania uspika wa Bunge la 11, imeanza kupamba moto ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku vigogo kadhaa wa chama hicho wakichukua fomu za kuwania nafasi hiyo.

MTANZANIA ambayo ilikuwa imepiga kambi katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam ilishuhudia makada hao wakikabidhiwa fomu na Katibu wa NEC, anayeshughulikia Oganaizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatib jana...

 

10 years ago

Habarileo

Mnyukano urais chama cha walimu

Rais wa Chama cha Walimu Tanzania Gratian Mukoba.MCHUANO mkali umeibuka ndani ya Chama cha Walimu Nchini (CWT) baada ya wagombea 28 kujitosa kuwania Urais wa chama hicho chenye nguvu kutokana na kuundwa na idadi kubwa ya watumishi wa umma.

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani