Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mnyukano mpya CCM

WAKATI Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiko njia panda baada ya Mwenyekiti wake, Rais Jakaya Kikwete, kuwarejesha mawaziri ‘mizigo’ waliopendekezwa na chama chake wang’olewe, makundi ya urais yameanza kupigana vikumbo kuwania...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Uhuru Newspaper

Mnyukano bungeni



Serikali yaipa rungu polisi kudhibiti uhalifuusinde apongeza vinara wa vurugu kupigwaSadifa achafua hali ya hewa, Shekifu ang’aka
NA THEODOS MGOMBA, DODOMA
MVUTANO kuhusiana na sakata la Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa  Ibrahim Lipumba, kukamatwa na kufunguliwa mashitaka, umeendelea kutikisa bungeni.
Jana, wabunge walipata fursa ya kujadili suala hilo, ambapo wengi waliwashutumu wenzao wa upinzani kutokana na kuchochea vurugu na kulipaka matope jeshi la polisi pindi linapochukua...

 

9 years ago

Mtanzania

Mnyukano Spika wa Bunge

MTZ Alhamisi new july.indd*Dk. Nchimbi, Sitta wachukua fomu na kurudisha

NA PATRICIA KIMELEMETA, DAR ES SALAAM

VITA ya kuwania uspika wa Bunge la 11, imeanza kupamba moto ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), huku vigogo kadhaa wa chama hicho wakichukua fomu za kuwania nafasi hiyo.

MTANZANIA ambayo ilikuwa imepiga kambi katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam ilishuhudia makada hao wakikabidhiwa fomu na Katibu wa NEC, anayeshughulikia Oganaizesheni, Dk. Mohamed Seif Khatib jana...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mnyukano uchaguzi CHADEMA

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetoa orodha ya wanachama wake waliojitosa kugombea nafasi mbalimbali za taifa katika mabaraza huku mnyukano mkali ukiwa nafasi za mwenyekiti, makamu mwenyekiti, katibu mkuu,...

 

10 years ago

Habarileo

Mnyukano urais chama cha walimu

Rais wa Chama cha Walimu Tanzania Gratian Mukoba.MCHUANO mkali umeibuka ndani ya Chama cha Walimu Nchini (CWT) baada ya wagombea 28 kujitosa kuwania Urais wa chama hicho chenye nguvu kutokana na kuundwa na idadi kubwa ya watumishi wa umma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM yakataa katiba mpya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka wazi msimamo wake, kikisema kuwa hakina mpango na katiba mpya, na kwamba jambo muhimu kwao ni kuangalia matatizo ya wananchi. Msimamo huo ulitolewa na Katibu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Katiba mpya yaanza kumomonyoa CCM

SIKU moja baada mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA), kutangaza kuandamana kupinga kuendelea kwa bunge maalumu la katiba, Diwani Ally Nkhangaa wa Kata ya Mtunduru (CCM), ametangaza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CCM iache undumilakuwili Katiba mpya

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) ndicho kinaongoza Serikali, hivyo hakina budi kuwa na msimamo unaoeleweka bayana kuhusu mchakato wa Katiba mpya badala ya kuruhusu utaratibu huu wa sasa wa kila kiongozi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

PROPAGANDA YA KATIBA MPYA: Ufisadi wa CCM

HAPO mwanzo, wakati Tanganyika inapata uhuru kulikuwapo na chama cha ukombozi wa Waafrika wa Tanganyika (TANU) ambacho kiliweza kuwaunganisha wananchi! Baadaye, TANU iliungana na ASP kuunda Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wameguka Katiba Mpya

>Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza kumeguka baada ya baadhi ya wabunge wake ambao ni Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kuunga mkono kauli ya Naibu Katibu Mkuu wake, Mwigulu Nchemba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani