Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MO awashtaki CCM Singida kwa Kinana

kapambalaKatibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala akizungumza na waanndishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo.
Na Hillary Shoo, SingidaMbunge wa Jimbo la Singida mjini (CCM), Mohammed Dewji ameulalamikia uongozi wa Chama chake Mkoa wa Singida kwa kitendo cha kuchelewesha mchakato wa kumalizia ujenzi wa Uwanja wa michezo Namfua ikiwa ni moja ya ahadi zake alizotoa kwa wananchi wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2010.
Kuchelewa huko kuanza kwa mchakato wa ukarabati na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MO AWASHTAKI CCM SINGIDA KWA KINANA‏

Katibu wa CCM Mkoa wa Singida Naomi Kapambala akizungumza na waandishi wa habari juu ya ufafanuzi wa maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo. Katikati ya kiwanja chenyewe.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Kinana amaliza ziara yake Mkoani Singida kwa kuzuru Singida Vijijini

1. Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Kinana wakati wa mapokezi katika kata ya Msisi, Singida Vijijini,  en

Mbunge wa Singida Mashariki Lazaro Nyalandu akimlaki Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana wakati wa mapokezi ya kiongozi huyo wa Chama,  katika kata ya Msisi, Singida Vijijini, jana Mei 26, 2014.

2. Kinana akivishwa mgolole  Kijiji cha Msisi kabla ya kufungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata hiyo, Singida Vijijini

Wanachama wa Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi wakimvalisha mgolole Kianana kabla ya kufungua tawi la Wazazi la Kata hiyo.

3. Kinana akifungua Ofisi ya CCM ya Jumuia ya Wazazi katika Kata ya Msisi, Singida Vijijini

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizindua tawi la Jumuia ya Wazazi Kata ya Msisi, wilaya ya Singiga Vijijini.

4. Kinana na Nyalandu wakishiriki kuvuna mtama shamba la mfano la mtama Kata ya  Mtinko

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akishiriki kuvuna...

 

11 years ago

GPL

KATIBU MKUU WA CCM NDG. ABDULRAHMAN KINANA ATEMBELEA SINGIDA MASHARIKI

Ujenzi wa Shule ya Msingi Unyaghumpi ukiendelea katika Jimbo la Singida Mashariki la Mbunge Tundu Lissu,ambaye anadaiwa kuwakataza  wananchi kuchangia fedha za kujengea vyumba vya madarasa katika shule hiyo. Mmoja wa Viongozi wa CCM,Wilaya akimpatia tofari Kinana walipokuwa…

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AENDELEA NA ZIARA YAKE YA SIKU NANE MKOANI SINGIDA

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki ujenzi wa ofisi za CCM kata ya Ighombwe ambapo aliwahimiza viongozi wa CCM kujenga ofisi zenye uwezo wa kutoa  msaada wa kijamii ikiwa pamoja na elimu za ujasiliamali .  Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana (haoenekani pichani) akizungumza na Wananchi baada ya kushiriki ujenzi wa Zahanati,kata ya Sepuka wilayani Ikungi  Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Sepuka Wilayani Ikungi,jimbo la Singida Magharibi,na...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA KUANZA ZIARA YA SIKU 26 KESHO, MIKOA YA TABORA, SINGIDA NA MANYARA


  *NI YA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM *KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI
* KUKAGUA MAANDALIZI YA CHAMA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye  akiwa na baadhi ya waandishi wa habari watakaoungana na Katibu Mkuu wa CCM, Andulrahman Kinana, katika ziara ya siku 26 katika mikoa ya Tabora, Singida na Manyara itakayoanza kesho katika jimbo la Igunga mkoani Tabora. Nape alipigapicha na na waandishi hao leo baada ya kuzungumza nao kuhusu ziara hiyo,...

 

5 years ago

CCM Blog

SINGIDA YAADHIMISHA MIAKA 43 YA CCM KWA KISHINDO, YATOA MSIMAMO ENEO LINASTAHILI KUJENGWA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI YA SINGIDA VIJIJINI

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Alhaji Juma Kilimba, akizungumza kwenye sherehe za maadhimisho ya miaka 43 ya chama hicho yaliyofanyika kimkoa Wilaya ya Singida Vijijini hivi karibuni. Wengine ni viongozi mbalimbali wa chama hicho na Serilikali na Wabunge. KWA PICHA ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 43 YA CCM >> BOFYA HAPA

Na Godwin Myovela, Singida
Baada ya mvutano mkubwa ambao umekuwepo baina ya madiwani, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na viongozi wa Serikali kuhusu...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,NDUGU KINANA AWASILI MKOANI SINGIDA KUANZA ZIARA YAKE SIKU NANE

Katibu Mkuu wa CCM, Kinana, akisalimiana na Mbunge wa Singida Magharibi, Lazaro Nyalandu, wakati wa mapokezi yake baada ya kuwasli mpakani mwa Tabora na Singida,  mwanzoni mwa ziara yake ya siku nane mkoani Singida, kukagua na kusimamia utekelezaji wa ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi kwa lengo la kuzipatia ufumbuzi katika mkoa wa Singida.  Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (kushoto), akisaidiwa na Mbunge wa Manyoni Magharibi, Paul Luanje, kuwapa mafundi bati waliokuwa...

 

11 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU WA CCM,KINANA AMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU NANE MKOANI SINGIDA,KESHO KUELEKEA MKOANI MANYARA

Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwahutubia Wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Msange,kata ya Msange,Singida Vijijini mkoani Singida. Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikad,siasa na Uenezi Nape Nnauye,leo wanahitimisha siku nane za ziara yao ya Kukagua kuhimiza na kusukuma miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Chama,kukagua maandalizi ya uchaguzi ya serikali za mitaa,kusikiliza kero za wananchi na kuzitafututia ufumbuzi.Kinana...

 

11 years ago

Michuzi

KINANA AHITIMISHA MKUTANO WAKE WA HADHARA KWA KISHINDO MJINI SINGIDA LEO

Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi (hawapo pichani) kando kando ya barabara,wakati wakielekea kwenye mkutano hadhara unaonfanyika katika uwanja wa People's mjini Singida,akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi,Nape Nnauye na viongozi wengine mbalimbali chama. Katibu Mkuu wa CCM,Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi wakati akiwasili kwenye mkutano wa hadhara unaonfanyika katika uwanja wa People's mjini Singida jioni hii,akiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani