Mo Music kuiteka Bills leo
CHIPUKIZI wa muziki wa Bongo Fleva, Moshi Katemi ‘Mo Music’, anatarajia kufanya shoo yake ya kwanza katika Jiji la Dar es Salaam leo katika ukumbi wa kimataifa wa Club Bilicanas...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima26 Jan
Abdu Kiba kuiteka Bills leo
WAKATI wimbo ‘Kabibi’ ulioimbwa na mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdu Kiba ukiendelea kubamba katika anga ya muziki wa kizazi kipya, leo anatarajia kuendelea kuutambulisha kwa mashabiki wake....
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Diamond, Wema kuiteka Mtwara leo
NYOTA wa muziki wa Bongo flava nchini, Diamond Platnum ameahidi makubwa kwa mashabiki wake wa Mtwara katika onesho litakalofanyika leo kwenye Ukumbi wa Makonde Club, mjini humo. Katika shoo hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Twanga kukonga mashabiki Bills leo
BENDI ya muziki wa dansi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ imejinasibu kutamba na kukonga nyoyo za mashabiki wao katika onesho lao la Usiku wa Mwafrika ‘African Nite’ linalorindima kila Jumatano...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-7-17Ut3vwoQDUWSEmV8NdOEp2dtHIeg5lJiLJZCFux3lOlUrrrO066WdylvyfgTA0t6xGzHWtANo3M8r3iqB0tMhvOWvQ2t/6.jpg)
YALIYOJIRI NDANI YA BILLS USIKU WA KUAMKIA LEO
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/PFrndT8yczI/default.jpg)
9 years ago
Bongo517 Dec
Zari na Diamond kuiteka Uganda wikiendi hii
![12301398_1675226496024383_418418585_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12301398_1675226496024383_418418585_n-300x194.jpg)
Diamond na mchumba wake Zari The Bosslady wataiteka Kampala, Uganda wikiendi hii.
Wote watakuwa na show tofauti.
Zari atakuwa na All White Party Alhamis hii kwenye kiota cha Guvnor huku Diamond Ijumaa hii akitumbuiza kwenye uwanja wa cricket wa Lugogo akiwa na msanii wa Nigeria, Patoranking kwenye show ya Born 2 Win.
Tayari Zari ameshawasili nchini humo huku Diamond akitarajiwa kuwasili leo au kesho.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-otLcg1YcaZg/VJpZSzSdB3I/AAAAAAAG5ec/ZISm4eJTGtE/s72-c/unnamed.jpg)
MASHAUZI CLASSIC YAPANIA KUITEKA MOROGORO X-MAS
![](http://2.bp.blogspot.com/-otLcg1YcaZg/VJpZSzSdB3I/AAAAAAAG5ec/ZISm4eJTGtE/s1600/unnamed.jpg)
Mkurugenzi wa Mashauzi Classic, Isha Ramadhani maarufu kama Isha Mashauzi (pichani juu), ameuambia mtandao huu kuwa onyesho hilo litafanyika ndani ya ukumbi wa Savoy Hotel na watasindikizwa na mfalme wa kigodoro Msaga sumu.
Isha amesema “Sura Surambi” ni ngoma yao mpya kabisa iliyoachiwa ...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/magufuli-akimwaga-sera-jangwani-leo-2.jpg)
MAGUFULI AFUNGA KAMPENI ZAKE DAR, KESHO KUITEKA MWANZA