Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Twanga kukonga mashabiki Bills leo

BENDI ya muziki wa dansi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ imejinasibu kutamba na kukonga nyoyo za mashabiki wao katika onesho lao la Usiku wa Mwafrika ‘African Nite’ linalorindima kila Jumatano...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE

Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na Joniko Flower wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kikosi kazi cha Skylight Band kikisebeneka jukwaani.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Skylight yaendelea kukonga nyoyo mashabiki wake ndani ya Escape One Mikocheni ni kila siku ya Jumapili

Wanaume wa shoka wakilisakata rhumba wakati wa kuwafurahisha mashabiki wa bendi ya Skylight wakati wa mkesha wa eid  Mwimbaji wa bendi ya Skylght Natasha akiwa anawapa mashabiki vionjo vya nyimbo za taratibu (kistaarabu) wakati wa mkesha huo wa Eid ndani ya kiwanja cha Escape One Mikocheni Bendi ya waimbaji wakali wa Skylight ikirindimisha baadhi ya nyimbo zao huku mbele kabisa akiwa anawaongoza wenzake katika uimbaji wa nyimbo hiyo Sony Samba. Ashura Kitenge (kushoto) akiwa na Kasongo...

 

9 years ago

Vijimambo

ASYA IDAROUS ANOGESHA NA KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI SWAHILI FEST BLADENSBURG WATER FRONT, MARYLAND

Gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini akipita mbele ya mashabiki wake kushukuru. Picha na Vijimambo Blog/Kwanza ProductionGwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini (kushoto) akiwasalimia mashabiki wa mitindo kwenye Swahili Fest iliyofanyika siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Maryland na kuhudhuriwa na nchi tano za Afrika Mashariki.
Walimbwende waliovaa nguo za za gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini wakiwa katika picha ya pamoja.

 

9 years ago

Dewji Blog

Asya Idarous anogesha na kukonga nyoyo za mashabiki Swahili Fest Bladensburg Water Front, MARYLAND

Gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini akipita mbele ya mashabiki wake kushukuru. Picha na Vijimambo Blog/Kwanza Production Gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini (kushoto) akiwasalimia mashabiki wa mitindo kwenye Swahili Fest iliyofanyika siku ya Jumapili Septemba 20, 2015 Bladensburg, Maryland na kuhudhuriwa na nchi tano za Afrika Mashariki.

Walimbwende waliovaa nguo za za gwiji la mitindo Asya Idarous Khamsini wakiwa katika picha ya pamoja.

 

9 years ago

Vijimambo

SKYLIGHT YAENDELEA KUKONGA NYOYO MASHABIKI WAKE NDANI YA ESCAPE ONE MIKOCHENI NI KILA SIKU YA JUMAPILI

Wanaume wa shoka wakilisakata rhumba wakati wa kuwafurahisha mashabiki wa bendi ya Skylight wakati wa mkesha wa eid Mwimbaji wa bendi ya Skylght Natasha akiwa anawapa mashabiki vionjo vya nyimbo za taratibu (kistaarabu) wakati wa mkesha huo wa Eid ndani ya kiwanja cha Escape One Mikocheni.
Bendi ya waimbaji wakali wa Skylight ikirindimisha baadhi ya nyimbo zao huku mbele kabisa akiwa anawaongoza wenzake katika uimbaji wa nyimbo hiyo Sony Samba.Ashura Kitenge (kushoto) akiwa na Kasongo Junior...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO MASHABIKI ZAKE, NI IJUMAA HII TENA PALE THAI VILLAGE‏

Joniko Flower akiongoza safu ya Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.... Ni kila Ijumaa zote za wiki wanakuwa hapo kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki wake!!!…

 

11 years ago

GPL

TWANGA YAWASHIKA MASHABIKI DAR LIVE

Waimbaji wa bendi hiyo Kalala Jr (kushoto) na Pentagon wakiimba kwa pomoja. Kalala Jr akirap katika makalio ya mmoja wa wanenguaji wa bendi hiyo.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mo Music kuiteka Bills leo

CHIPUKIZI wa muziki wa Bongo Fleva, Moshi Katemi ‘Mo Music’, anatarajia kufanya shoo yake ya kwanza katika Jiji la Dar es Salaam leo katika ukumbi wa kimataifa wa Club Bilicanas...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Abdu Kiba kuiteka Bills leo

WAKATI wimbo ‘Kabibi’ ulioimbwa na mkali wa muziki wa kizazi kipya nchini, Abdu Kiba ukiendelea kubamba katika anga ya muziki wa kizazi kipya, leo anatarajia kuendelea kuutambulisha kwa mashabiki wake....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani