MO MUSIC: ZAO LA TX MOSHI LINALOBAMBA NA BASI NENDA!
Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Mo Music akiwa katika pozi. MAKALA NA MAYASA MARIWATA UKITAKA kuzungumzia ngoma inayotikisa kwa sasa kwenye anga la muziki wa Bongo Fleva katika kipengele cha R&B, basi huwezi kuacha kuijadili ngoma kali inayokwenda kwa jina la Basi Nenda. Mzigo huo umefanywa na dogo machachari anayetokea pande za Mwanza, Moshi Katemi almaarufu kwa jina la stejini, Mo Music.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo502 Jan
New Video: Nedy Music — Nenda Salama
9 years ago
Bongo529 Aug
Music: Nician — Zao Zangu
9 years ago
Bongo518 Aug
New Music: Ervixy f/ Belle 9 & Prezzo – Basi
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-yUbqO8n5VQ0/XqAY8ncwsoI/AAAAAAAAHFo/CMvH89StCgwADMXJg5XK469u2-1kbLjdwCLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
NAIBU WAZIRI ABDALLAH ULEGA ATOA POLE KWA FAMILIA 21 AMBAZO NDUGU ZAO WAMEFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BASI MKURANGA
11 years ago
Tanzania Daima26 May
Moshi yafunika Kili Music Tour
TAMASHA la kwanza linalohusisha ziara ya wanamuziki zaidi ya 10 linalodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager, limeanza kwa kishindo mwishoni mwa wiki ambako zaidi ya wakazi 10,000 walihudhuria na...
11 years ago
Tanzania Daima22 May
Kilimanjaro Music Tour yabisha hodi Moshi
ZIARA ya Kilimanjaro Music Tour ambayo imeanza kuwa gumzo kwa sasa katika sekta ya burudani, imebisha hodi mjini Moshi ambako wapenzi wa muziki wanatarajiwa kupata burudani ya aina yake kutoka...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-D0QtD5Vd2Pc/U4H8ZD3C4vI/AAAAAAAAju8/Y1RlTtPoy1w/s72-c/4.jpg)
MOSHI YAFUNIKA TAMASHA LA KILIMANJARO MUSIC TOUR
![](http://4.bp.blogspot.com/-D0QtD5Vd2Pc/U4H8ZD3C4vI/AAAAAAAAju8/Y1RlTtPoy1w/s1600/4.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-hxyo6A0O7rY/U4H8Z0WNAgI/AAAAAAAAjvM/xvawts0A830/s1600/5.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a1UnzmW4btI/VNsMGUWQ0zI/AAAAAAAHDBE/vcYGwtGEqWI/s72-c/unnamed%2B(62).jpg)
From Moshi to Harvard Presentation by International School Moshi — This Saturday at Seacliff Hotel
![](http://3.bp.blogspot.com/-a1UnzmW4btI/VNsMGUWQ0zI/AAAAAAAHDBE/vcYGwtGEqWI/s1600/unnamed%2B(62).jpg)