MODEWJI BLOG YARUDI HEWANI BAADA YA KWIKWI YA MASAA 4*
Baada ya kwikwi ya saa takribani 48 wataalamu wa Modewji blog wanakurejeshea hewani Blog yako pendwa.Watundu wanaovuruga mambo mtandaoni (hackers) walijaribu kuimiliki blog hii kwa kufanya majaribio zaidi ya mara 300 yaliyosababisha mifumo ya kiusalama, kufanyakazi ya ziada kuihami Modewjiblog.Hata hivyo wataalamu wetu wameziba mianya iliyokuwa imesababisha hali hiyo na sasa tupo pamoja nanyi.Tunashukuru kwa uvumilivu wenu, tuko pamoja na endelea kuperuzi nasi.Kwa mawasiliano zaidi tutumie...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Aug
MODEWJI BLOG YARUDI HEWANI BAADA YA KWIKWI YA MASAA 45
10 years ago
VijimamboMODEWJI BLOG INAOMBA RADHI KWA KUTOKUWA HEWANI
Wapendwa wasomaji wa Modewjiblog tunashughulikia matatizo ya kifundi yaliyojitokeza tangu jana kwenye ‘server’ kiutaalam inaitwa DDOS unaweza kuperuzi link hii kwa taarifa zaidihttps://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack ambayo yako nje ya uwezo wetu.
Modewjiblog itarudi hewani hivi punde, samahani kwa usumbufu wowote ule uliojitokeza, tunahitaji ushirikiano wenu zaidi.
There has been an undergoing DDOS attach on the server https://en.wikipedia.org/wiki/Denial-of-service_attack. We...
11 years ago
Michuzi26 May
LIBENEKE LA MDAU FRANCIS GODWIN BLOG LAREJEA HEWANI BAADA YA KUPATWA NA KWIKWII
10 years ago
Dewji Blog01 May
Modewji blog wishes you a Happy May Day
Let us celebrate the Labour, Those built up this Great Land, Happy May Day!
“All labor that uplifts humanity has dignity and importance and should be undertaken with painstaking excellence.” Martin Luther King Jr.
11 years ago
Michuzi11 Feb
libeneke la full shangwe lapata kwikwi ya kiufundi, kurudi hewani muda si mrefu ujao
TUNAOMBA RADHI KWA WADAU WETU NBC, NHIF, TTB, NMB, THE FADHAGETI SANITARIUM, WILNA INTERNATIONAL NA WENGINE WOTE PAMOJA NA WATEMBELEAJI WETU POPOTE WALIPO KWA USUMBUFU WOWOTE UTAKAOJITOKEZA.
JOHN BUKUKU MMILIKI WA FULL SHANGWE BLOG
9 years ago
Dewji Blog25 Dec
9 years ago
Dewji Blog24 Sep
Modewji blog team wishes you Eid Mubarak!
Thursday, Sept. 24 marks Eid al-Adha for Muslims around the world. It is one of the two Eid holidays celebrated by Islam, and it honors Abraham’s willingness to sacrifice his son. Since the Islamic calendar is lunar, this holiday falls on the 10th day of Dhu al-Hijjahand varies on the Gregorian calendar from year to year.
Here are 14 Eid al-Adha quotes and sayings for those who celebrate:
1. Hope love and laughter, warmth, wishes, joy and a bouquet of Eid wishes, jubilations, become a part...
10 years ago
Dewji Blog12 Jan