MOI waombwa kumpeleka mgonjwa kupiga kura
Mkazi wa Jiji la Dar es Salaama, Chacha Makenge (38) ameuomba uongozi wa Taasisi ya Tiba na Mifupa ya Muhimbili (MOI) msaada wa gari la wagonjwa kwa ajili ya kumpeleka kwenda kupiga kura katika Kituo cha Chuo Kikuu Dar es Salaam kesho.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi22 Oct
Mgonjwa MOI aomba awezeshwe usafiri akapige kura
9 years ago
Mwananchi21 Oct
Waliopoteza kadi zao za kupigia kura hawataruhusiwa kupiga kura
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-acutzY_zQNk/U0BVg7cjE1I/AAAAAAAFY0E/ByY4ZD9TjNs/s72-c/01.jpg)
Tume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura
![](http://1.bp.blogspot.com/-acutzY_zQNk/U0BVg7cjE1I/AAAAAAAFY0E/ByY4ZD9TjNs/s1600/01.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-7HCd_PviCZk/U0BVixbE10I/AAAAAAAFY0M/QjkmDYMw94U/s1600/02.jpg)
9 years ago
VijimamboWASIOONA WATISHIA KUTOMPIGIA KURA MWANASIASA AMBAYE HAJAWAWEKEA MAZINGIRA RAFIKI YA WAO KUPIGA KURA WAKATI WA UCHAGUZI MKUU
Na Dotto...
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Shytown waombwa kumpigia kura kwa wingi NASSIB FONABO BSS 2015
Mshiriki wa Shindano la BSS 2015, Nassib Fonabo pichani
Na Andrew Chale-modewjiblog
Wadau wa Mkoa wa Shinyanga wameombwa kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Nassib Fonabo ambaye ni mwakilishi pekee anayeiwakilisha Mkoa katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka huu wa 2015.
Fonabo ambaye anatumia namba BSS 103, Ambapo unaweza kumpigia kura kwa wingi kwa kuandika BSS103 kwenda namba 15522. Kumpigia kura kwa wingi Fonabo zitamwezesha kijana huyo kuwa na nafasi...
10 years ago
BBCSwahili07 May
10 years ago
Habarileo22 Jun
Watanzania milioni 24 kupiga kura
OFISI ya Taifa ya Takwimu imetoa makadirio ya idadi ya watu wanaotarajiwa kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 2015 ambao wanakisiwa kuwa watafikia milioni 24.2 nchi nzima.
9 years ago
BBCSwahili12 Oct
9 years ago
Habarileo03 Sep
Wanafunzi kupiga kura walipojiandikisha
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema wanafunzi wa vyuo vikuu waliokuwa na sifa za kupiga kura na wamejiandikisha katika daftari la wapiga kura wataruhusiwa kupiga kura katika maeneo walipojiandikisha na si kwingineko.