Shytown waombwa kumpigia kura kwa wingi NASSIB FONABO BSS 2015
Mshiriki wa Shindano la BSS 2015, Nassib Fonabo pichani
Na Andrew Chale-modewjiblog
Wadau wa Mkoa wa Shinyanga wameombwa kujitokeza kwa wingi kumpigia kura Nassib Fonabo ambaye ni mwakilishi pekee anayeiwakilisha Mkoa katika shindano la kusaka vipaji la Bongo Star Search (BSS) kwa mwaka huu wa 2015.
Fonabo ambaye anatumia namba BSS 103, Ambapo unaweza kumpigia kura kwa wingi kwa kuandika BSS103 kwenda namba 15522. Kumpigia kura kwa wingi Fonabo zitamwezesha kijana huyo kuwa na nafasi...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Nassib Fonabo: Michel Teló wa ‘nosa nosa’ amenionyesha njia
Nassib Fonabo: Michel Telo wa ‘nosa nosa’ amenionyesha njia
NA FESTO POLEA
NAJUA unajua kwamba mshindi wa kwanza wa shindano la vipaji la Bongo Star Search ni Kayumba Juma aliyekuwa akiwakilisha Mkoa wa Dar es Salaam na amenyakua kitita cha Sh milioni 50, lakini sidhani kama unajua wa pili na watatu wamepata nini?
Walichopata ni hiki, aliyeshika nafasi ya pili, Nassib Fonabo anayetokea Mkoa wa Shinyanga lakini katika shindano hilo aliwakilisha Mkoa wa Arusha alipata Sh milioni 10 huku...
9 years ago
Habarileo14 Oct
Shinyanga waombwa kumpigia Magufuli
WANANCHI wametakiwa kujitokeza kwa wingi ifikapo Oktoba 25, mwaka huu na kuipigia kura Chama Cha Mapinduzi (CCM) na mgombea wake, Dk John Magufuli (pichani). Kauli hiyo imetolewa na kada wa CCM, Mwigulu Nchemba katika mikutano ya kampeni ya kuwanadi wagombea wa urais, ubunge na udiwani jimbo la Shinyanga mjini.
10 years ago
Dewji Blog24 Apr
Maandalizi ya sherehe za miaka 51 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar yakamilika, wananchi waombwa kujitokeza kwa wingi
Mkuu wa Wilaya ya Temeke Bi. Sophia Mjema akizungumza na waandishi wa Habari leo jijini Dar es salaam. Maadhimisho ya mwaka huu yatapambwa na Kauli Mbiu isemayo Miaka 51 ya Muungano, Tudumishe Amani Na Umoja, Ipigie Kura ya Ndiyo Katiba inayopendekezwa na Kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Askari watakaoshiriki kwenye Gwaride la heshima litakalohusisha vyombo vya ulinzi na usalama wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar wakiwa wamebeba bendera za Majeshi ya Tanzania...
11 years ago
MichuziTume ya Taifa ya Uchaguzi yasisitiza wapiga kura ndani ya Jimbo la Chalinze wajitokeze kwa wingi na kwenda kupiga kura
9 years ago
Mwananchi17 Oct
Fonabo: Kura hazikutosha kuwa mshindi
10 years ago
Bongo505 Dec
Idris kushinda $300,000 za Big Brother Jumapili hii? Afrika Mashariki yajiunga kumpigia kura kwa fujo!
9 years ago
Dewji Blog25 Oct
Wakazi wa Dar Wasimamisha Shughuli Kupiga Kura, Wajitokeza kwa Wingi
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam
WAKAZI wa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo wamesimamisha...
9 years ago
Michuzi04 Oct
WANAWAKE JITOKEZENI KWA WINGI KUPIGA KURA - MAMA SALMA KIKWETE
Rai hiyo imetolewa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na wanawake wa wilaya hiyo iliyopo mkoani Mara katika ukumbi wa mikutano uliopo katika hoteli ya CMG.
Mama Kikwete ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia wilaya...
9 years ago
MichuziWANAWAKE WAASWA KUJITOKEZA KWA WINGI KUKIPINGIA KURA CHAMA CHA MAPINDUZI
Wanawake wameaswa kukipenda chama cha mapinduzi kwakuwa ndicho chama pekee kitakachowaletea maendeleo yanayotakiwa kwakuwa kinajua changamoto zinazo wakabili wananchi katika kipindi hiki.
Akizungunguza na wanawake wa wa Kata ya Makolongoni Mbunge wa viti maalum mkoani Iringa Rose Tweve aliwataka wananchi kutobabaishwa na wapinzani kwani hawana nia njema na watanzania na kusema kuwa chama hicho kina misingi ya kutetea amani ya Nchi. "sisi sote ni wanawake niwaombeni sana tukipigie kura...