Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moja ya Talaka ghali zaidi duniani yaamuriwa katika mahakama ya Uswisi

russian-oligarch

-Mrusi Oligarch aamuruliwa kulipa zaidi ya dola 4.5 bilioni kwa mke wake wa zamani

Na Damas Makangale, wa modewjiblog kwa msaada wa mtandao

Mahakama nchini Uswisi imeamuru Dmitry Rybolovlev, mmiliki wa klabu maarufu ya Ufaransa, AS Monaco kumlipa zaidi ya dola za kimarekani 4.5 bilioni mke wake wa zamani Elena Rybolovleva katika kile kinasemwa kwamba ni moja ya talaka au usuluhishi wa ndoa ghali wa kihistoria duniani.

Mwenendo wa kesi hiyo ya ndoa ilianza mapena mwaka 2008 wakati mke wake...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Messi mchezaji ghali zaidi duniani

Lionel Messi ampiga bao Christiano Ronaldo katika orodha ya Wachezaji wenye thamani duniani

 

10 years ago

BBCSwahili

Saa ghali zaidi duniani yanunuliwa

Saa ghali zaidi duniani imenunuliwa mnadani huko Geneva,Uswiss kwa gharama ya dola za kimarekani milioni 21.3.

 

11 years ago

BBCSwahili

Singapore mji ghali zaidi duniani

Singapore umetajwa kuwa mji ghali zaidi duniani kuishi kwa mwaka 2014 na kuipiku miji mingine 131

 

10 years ago

Mwananchi

Guantanamo; gereza la kisiasa ghali zaidi duniani

Mwanzoni mwa mwaka 2002, washukiwa wa mwanzo kabisa wa ugaidi wa kimataifa walipelekwa katika gereza lililojengwa katika Kituo cha Kijeshi cha Kimarekani cha Guantanamo nchini Cuba, kutokana na amri ya Rais George W. Bush.

 

11 years ago

GPL

SINGAPORE WATAJWA KUWA MJI GHALI ZAIDI DUNIANI

Taswira ya mji wa Singapore. MJI wa Singapore umetajwa kuwa mji ghali zaidi duniani kwa mwaka 2014 na kuipiku miji mingine 130 kwa mujibu wa taarifa ya Economist Intelligence Unit (EIU). Nguvu ya sarafu ya mji huo ikiwa ni pamoja na gharama kubwa ya uendeshaji magari na kuongezeka kwa malipo ya huduma za umma kumechangia Singapore kuwa juu ya miji mingine. Nguvu ya sarafu ya mji huo ikiwa ni pamoja na gharama kubwa ya uendeshaji...

 

11 years ago

CloudsFM

TALAKA YENYE THAMANI ZAIDI DUNIANI

Mmiliki wa club ya timu ya AS Monaco inayocheza ligi daraja la kwanza nchini Ufaransa Dmitry Rybolovlev ambaye pia anashika nafasi ya 148 katika list ya ma billionea wanaotajwa na Forbes Magazine. Yeye pamoja na aliyekua mke wake Elena wamevunja rekodi ktk historia ya fidia za ndoa zilizowahi kuvunjika duniani.
Hiyo ni baada ya mahakama ya Geneva Switzerland hivi karibuni kumuamuru jamaa amlipe mtalaka wake zaidi ya dola bilioni 4.5
Ndoa hiyo ilidumu kwa miaka 23 na waliingia kwenye mchakato...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Zaidi ya watu milioni moja wameathirika duniani

Idadi ya walioambukizwa imekuwa mara mbili zaidi katika kipindi cha chini ya juma moja, kwa mujibu wa takwimu za sasa.

 

10 years ago

Vijimambo

DARTZ SUV GHALI KULIKO ZOTE DUNIANI


Dartz ndiyo SUV ghali kuliko zote Duniani inatengenezwa na kampuni ya Dartz Motorz ya Urusi SUV hii inauzawa kwa $225,000

 

11 years ago

Habarileo

Dar mkoa ghali zaidi Tanzania

WAKATI Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, unapanga kuongeza nauli za daladala kwa wakazi wa Dar es Salaam ili kukabiliana na tatizo sugu la foleni, taarifa ya matumizi ya kaya binafsi Tanzania Bara, zimeonesha kuwa Mkoa wa Dar es Salaam, ndio mahali ghali zaidi nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani