SINGAPORE WATAJWA KUWA MJI GHALI ZAIDI DUNIANI
![](http://api.ning.com:80/files/6A05RJELsODabVC-mc2Z-5orNNlUrb8frp8Hi70d8NxKKfesSSZq56qbtpj6sxvHqr6n06Bq4DO5kwEGbNnMajDRbuMrBKoY/v4Singaporeskyline.jpg)
Taswira ya mji wa Singapore. MJI wa Singapore umetajwa kuwa mji ghali zaidi duniani kwa mwaka 2014 na kuipiku miji mingine 130 kwa mujibu wa taarifa ya Economist Intelligence Unit (EIU). Nguvu ya sarafu ya mji huo ikiwa ni pamoja na gharama kubwa ya uendeshaji magari na kuongezeka kwa malipo ya huduma za umma kumechangia Singapore kuwa juu ya miji mingine. Nguvu ya sarafu ya mji huo ikiwa ni pamoja na gharama kubwa ya uendeshaji...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili05 Mar
Singapore mji ghali zaidi duniani
10 years ago
BBCSwahili12 Nov
Saa ghali zaidi duniani yanunuliwa
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Messi mchezaji ghali zaidi duniani
10 years ago
Mwananchi21 Jan
Guantanamo; gereza la kisiasa ghali zaidi duniani
11 years ago
Dewji Blog22 May
Moja ya Talaka ghali zaidi duniani yaamuriwa katika mahakama ya Uswisi
-Mrusi Oligarch aamuruliwa kulipa zaidi ya dola 4.5 bilioni kwa mke wake wa zamani
Na Damas Makangale, wa modewjiblog kwa msaada wa mtandao
Mahakama nchini Uswisi imeamuru Dmitry Rybolovlev, mmiliki wa klabu maarufu ya Ufaransa, AS Monaco kumlipa zaidi ya dola za kimarekani 4.5 bilioni mke wake wa zamani Elena Rybolovleva katika kile kinasemwa kwamba ni moja ya talaka au usuluhishi wa ndoa ghali wa kihistoria duniani.
Mwenendo wa kesi hiyo ya ndoa ilianza mapena mwaka 2008 wakati mke wake...
10 years ago
Dewji Blog23 Jan
Real Madrid yatajwa kuwa Club tajiri zaidi duniani
Real Madrid, mabingwa mara kumi wa Ulaya, wameweza kushikilia nafasi ya kwanza kama timu tajiri zaidi duniani kwa mwaka wa kumi mfululizo, katika orodha ya Deloitte ya timu tajiri duniani.
Manchester United imesogea hadi nafasi ya pili kutoka ya nne, katika tathmini iliyofanywa kwa kuzingatia mapato ya msimu wa 2013-14.
Bayern Munich, Barcelona na Paris Saint-Germain zimechukua nafasi ya tatu, nne na tano.
Klabu za England za Manchester City, Chelsea, Arsenal na Liverpool zimo katika nafasi...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-7af0mPKLqYA/UiYR6xbHqeI/AAAAAAAAF6Y/uDPlra2ddao/s72-c/dartz-1.jpg)
DARTZ SUV GHALI KULIKO ZOTE DUNIANI
![](http://media.vorotila.ru/ru/items/t1@8663c84e-4afb-4cb0-8b2b-33ef70a10bdf/Dartz-Motorz.jpg)
Dartz ndiyo SUV ghali kuliko zote Duniani inatengenezwa na kampuni ya Dartz Motorz ya Urusi SUV hii inauzawa kwa $225,000
![](http://2.bp.blogspot.com/-7af0mPKLqYA/UiYR6xbHqeI/AAAAAAAAF6Y/uDPlra2ddao/s1600/dartz-1.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
JAPAN YAVUNJA REKODI KWA KUWA NA TRENI YENYE MWENDO KASI ZAIDI DUNIANI
11 years ago
Habarileo10 Jun
Dar mkoa ghali zaidi Tanzania
WAKATI Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, unapanga kuongeza nauli za daladala kwa wakazi wa Dar es Salaam ili kukabiliana na tatizo sugu la foleni, taarifa ya matumizi ya kaya binafsi Tanzania Bara, zimeonesha kuwa Mkoa wa Dar es Salaam, ndio mahali ghali zaidi nchini.