Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mola uwape busara CCM

Mola uwape busara, wajumbe Kamati Kuu, Watupe amani bora, rais wa mwaka huu, Wateue wenye dira, wasiwe wenye makuu, Mola uwape busara, Kamati ya CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Busara za Watanzania ni kuinyima kura CCM 2015

CCM inaendelea kujikaanga kwa mafuta yake yenyewe kwani kila wanachofanya hakiendi vyema kwa sababu ya kutokuwa na nia njema na Watanzania ambao bado ni maskini.

 

9 years ago

Bongo5

Video: Jaco Beatz X Malisam — Nerea Remix (Eeh Mola)

Hii ni video mpya ya remix ya wimbo wa ‘Nerea’ ambao uliimbwa na Sauti Sol, kwa sasa umerudiwa na Jaco Beatz pamoja na Malisam wameuita jina la “Eeh Mola” hii ni mahususi kabisa na “Uchaguzi huu” Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mola atujalie rais ajaye awe kiongozi asiwe mtawala

RAIS wangu, waliosoma kitabu cha Mwalimu Mkuu wa Watu ukurasa wa 96 imeandikwa; ‘Kijana mmoja mwenye hasira akamuuliza, sasa mheshimiwa unakwenda kwenu, ule uzalendo uliokuwa unaupigia baragumu unamwachia nani? Aliyekuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Sauti za Busara Zanzibar

Mziki wa kizazi kipya umeanza kutambuliwa katika jukwaa la kimataifa kama tulivyobaini katika tamasha la sauti ya Busara

 

11 years ago

TheCitizen

It was Sauti Za Busara without Bi Kidude

>It was a weekend of love with Valentine’s Day coming in handy, but just across the ocean in the Spice Islands the Sauti Za Busara festival had kicked off with a series of performances.

 

10 years ago

TheCitizen

Sauti za Busara a festival like no other

It is a festival that draws attention throughout the continent and beyond as it attracts visitors from almost every corner of the world.

 

11 years ago

Mwananchi

Tarabband yapagawisha Busara

Licha ya mvua za hapa na pale kunyesha usiku wa kuamkia jana kwenye viwanja vya Ngome Kongwe Zanzibar, bendi Tarabband kutoka Misri haikushindwa kuwaburudisha mashabiki waliojitokeza katika Tamasha la Busara uwanjani hapo.

 

10 years ago

GPL

CHADEMA, POLISI BUSARA ITUMIKE

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo 'CHADEMA' na Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni,  Freeman Mbowe, Na Ojuku Ibrahim
MAAZIMIO ya Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kuitisha maandamano na migomo isiyokoma nchi nzima kupinga kuendelea kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba (BMK) na baadaye kauli kali ya Jeshi la Polisi ya kukataza kitendo hicho na kutishia kutumia nguvu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani