Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Moto wa Tamasha la Pasaka kuibukia Shinyanga, Mwanza

MALKIA wa Muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini anatarajiwa kutua nchini kesho tayari kuwasha moto katika onyesho maalumu kwa wapendwa na wadau wa Kanda ya Ziwa, ukiwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA PASAKA LAKONGA MIOYO YA MASHABIKI MJINI SHINYANGA‏

Mwimbaji Rose Muhando akicheza na watoto wakati alipokuwa akiimba katika Tamasha la Pasaka mjini Shinyanga jana. Mwimbaji wa muziki wa injili Upendo Kilahiro akiimba jukwaani huku akipigwa tafu na waimbaji wenzake wa muziki wa injili kutoka kushoto ni Grace Mwikwabe, Tumaini Njole, Faraja Ntaboba kutoka nchini…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Keke kuwasha moto Tamasha la Pasaka

MWIMBAJI wa Injili kutoka Afrika Kusini Kekeletso Phoofolo ‘Keke,’ amewasili jana tayari kwa tamasha la Pasaka linalotarajiwa kutimua vumbi leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza mara...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Michuzi

Vyombo vipya kutumika tamasha la Pasaka jijini Mwanza

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imepanga kutumia vyombo vipya vya muziki katika Tamasha la Pasaka, Mei 4 jijini Mwanza.Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama hivi sasa kamati yake bado inaendelea na taratibu za kuvileta vyombo hivyo.     Msama alisema vyombo hivyo vya kisasa wameviagiza nchini China ambavyo ni vya kisasa zaidi katika tasnia ya muziki duniani.Aidha Msama alisema sababu za kuagiza vyombo hivyo vipya ni kuwasaidia wanamuziki...

 

11 years ago

Michuzi

Ngeleja mgeni rasmi tamasha la Pasaka jijini Mwanza

ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Pasaka linalotarajia kufanyika Mei 4 Jijini Mwanza.Kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti  wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Abihudi Mang’era kamati imejipanga  kufanya tamasha la kishindo jijini humo kwa sababu maandalizi yake ni ya hali ya juu.
Mang’era alisema tamasha hilo litakuwa ni la aina yake ambako alitoa wito kwa wakazi wa Kanda ya ziwa kujitokeza kwa wingi katika tamasha...

 

11 years ago

Michuzi

maandalizi ya tamasha la pasaka yakamilika,rebecca malope kutumbuiza jijini mwanza.

MKurugenzi wa Msama Promotions Ltd,ambao ndio waandaji wa tamasha la krismass na Pasaka,Bwa.Alex Msama amesema kuwa maandalizi ya tamasha la Pasaka linalotarajiwa kuanza kufanyika jijini Dar mnamo April,20 mwaka huu yamekamilika.


Aakizungumza na Waandishi wa habari jijini dar leo katika viwanja vya Karimjee,Msama amebainisha kuwa kila kitu kimekwishakamilika,wakiwemo wasanii mbalimbali watakaotumbuiza siku hiyo,aidha amesema kuwa pamoja na wanamuziki wa nyumbani kushiriki tamasha hilo,pia...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA TAMASHA LA PASAKA YAKAMILIKA, REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA

Mkurugenzi wa Msama Promotions Ltd, ambao ndio waandaji wa tamasha la Krismas na Pasaka, Bwa. Alex Msama akiongea na wanahabari katika Viwanja vya Karimjee, jijini…

 

11 years ago

Michuzi

MWENDELEZO WA TAMASHA LA PASAKA;MWANAMUZIKI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA APRIL 4 JIJINI MWANZA

MALKIA wa muziki wa Injili nchini Afrika Kusini, Rebecca Malope anatarajiwa kutua kwenye jiji la Mwanza a.k.a ROCKY CITY  April 4,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Tamasha la Pasaka 2014
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama amesema kuwa Nyota huyo wa muziki wa nyimbo za Kiroho,ni miongoni mwa wasanii watakaotumbuiza kwenye Tamasha hilo,ameeleza kuwa msanii huyo alipata kura nyingi kutoka kwa mashabiki waliompendekeza kutumbuiza jijini humo.
“Tunashukuru kwamba...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rebecca Malope atikisa jiji la Mwanza mwendelezo wa Tamasha la Pasaka CCM Kirumba

1

Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika Kusini Rebecca Malope akifanya mambo makubwa mbele ya mashabiki waliofurika kwenye uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza jioni hii katika tamasha kubwa la Pasaka linaloandaliwa na kampuni ya Msama Promotion chini ya Mkurugenzi wake Alex Msama, baada ya lile la Shinyanga ambalo lilifanyika jana kwenye uwanja wa Kambarage mkoani humo, watu wengi wamefurika katika uwanja wa CCM Kirumba ambapo pia Mbunge wa jimbo la Sengerema (CCM) Mh.William...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani