Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Keke kuwasha moto Tamasha la Pasaka

MWIMBAJI wa Injili kutoka Afrika Kusini Kekeletso Phoofolo ‘Keke,’ amewasili jana tayari kwa tamasha la Pasaka linalotarajiwa kutimua vumbi leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza mara...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach

Wapenzi wa burudani  ya muziki wa kizazi kipya na muziki wa taarabu watapata burudani ya funga mwaka kutoka kwa gwiji wa muziki wa kizazi kipya ambaye anatamba kwa vipao mbalimbali vipya Diamond Platnumz na mfalme wa muziki wa taarabu Mzee Yusuf  na kundi lake la Jahazi Modern Taarab watapanda jukwaa moja katika”Tamasha Wafalme”litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live,Mbagala jijini Dar es Salaam.Tamasha hili  la wafalme ambalo limeanza kuwa gumzo la  jiji kutokana na kuwa na burudani za...

 

9 years ago

Michuzi

Solly Mahlangu kuwasha moto Tamasha la Amani

MUIMBAJI nguli wa muziki Afrika, Solly Mahlangu anatarajia kuwasha moto kwenye jukwaa la Tamasha la Amani ambalo litarajia kufanyika Oktoba 4 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama mwimbaji huyo ndiye atakayekoleza maombi ya amani ya Tanzania ambayo inapigiwa chapuo la kulindwa kila kukicha. Msama alisema hivi sasa Kamati yake inaendelea na maandalizi ya kufanikisha tamasha hilo ambalo ni chachu ya amani hasa kuelekea uchaguzi Mkuu...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la Serengeti Fiesta kuwasha moto Moshi leo

UHONDO wa burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mahiri waliopo katika msafara wa Serengeti Fiesta 2014, leo ni zamu ya wapenzi na mashabiki wa mji wa Moshi na vitongoni...

 

11 years ago

Dewji Blog

Sauti Sol kuwasha moto tamasha la ZIFF usiku wa leo

DSC_0019

Kundi la wasanii maarufu kutoka nchini Kenya Sauti Sol katika mkutano na wandishi wa habari (hawapo pichani) ndani ya Hoteli ya Doubletree by Hilton mjini Zanzibar. Kutoka kushoto ni  Bien Baraza (vocalist), Chimano Austin (vocalist), Delvine Mudigi(vocalist) na Polycarp Otieno (Quitar & Vocalist).

DSC_0066

Bien Baraza wa kundi la Sauti Sol akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana umuhimu wa wasanii kutumia mitandao ya kijamii na muziki wao katika kukemea mambo maovu yanayoendelea...

 

9 years ago

Michuzi

REBECCA MALOPE AWASILI NCHINI TAYARI KWA KUWASHA MOTO TAMASHA LA XMASS DIAMOND JUBILEE KESHO

 Mwimbaji wa muziki wa injili kutoka nchini Afrika ya Kusini,Rebecca Malope akiwasili kwenye uwanja wa ndege wa JNIA jioni hii tayari kwa ajili ya kutumbuiza kaika tamasha la Krismass litakalofanyika ndani ya ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam kesho likishirikisha waimbaji mbalimbali wakiwemo wa nchini Tanzania kama vile Rose Muhando, Upendo Nkone, Joshua Mlelwa na wengine wengi , kushoto katika picha anayefurahia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion iliyoandaa na...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Moto wa Tamasha la Pasaka kuibukia Shinyanga, Mwanza

MALKIA wa Muziki wa Injili Afrika, Rebecca Malope wa Afrika Kusini anatarajiwa kutua nchini kesho tayari kuwasha moto katika onyesho maalumu kwa wapendwa na wadau wa Kanda ya Ziwa, ukiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani