Solly Mahlangu kuwasha moto Tamasha la Amani
![](http://1.bp.blogspot.com/-E8F_Cu_JKzA/VfSCnrTBwpI/AAAAAAAC_BI/wCmzZD4IMYI/s72-c/Solly-217.jpg)
MUIMBAJI nguli wa muziki Afrika, Solly Mahlangu anatarajia kuwasha moto kwenye jukwaa la Tamasha la Amani ambalo litarajia kufanyika Oktoba 4 uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama mwimbaji huyo ndiye atakayekoleza maombi ya amani ya Tanzania ambayo inapigiwa chapuo la kulindwa kila kukicha. Msama alisema hivi sasa Kamati yake inaendelea na maandalizi ya kufanikisha tamasha hilo ambalo ni chachu ya amani hasa kuelekea uchaguzi Mkuu...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-K_LkjDc3Rd0/VJUsyVBQWNI/AAAAAAAG4l8/9flQfWR5gQE/s72-c/DIAMONDNAMZEEYUSUF.jpg)
Diamond na Mzee Yusuf kuwasha moto Dar Live Krismas katika tamasha la wafalme chini ya Vodacom Tanzania, Moto mwingine wa burudani utakuwa Coco beach
![](http://3.bp.blogspot.com/-K_LkjDc3Rd0/VJUsyVBQWNI/AAAAAAAG4l8/9flQfWR5gQE/s1600/DIAMONDNAMZEEYUSUF.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima20 Apr
Keke kuwasha moto Tamasha la Pasaka
MWIMBAJI wa Injili kutoka Afrika Kusini Kekeletso Phoofolo ‘Keke,’ amewasili jana tayari kwa tamasha la Pasaka linalotarajiwa kutimua vumbi leo katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Akizungumza mara...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Tamasha la Serengeti Fiesta kuwasha moto Moshi leo
UHONDO wa burudani ya aina yake kutoka kwa wasanii mahiri waliopo katika msafara wa Serengeti Fiesta 2014, leo ni zamu ya wapenzi na mashabiki wa mji wa Moshi na vitongoni...
11 years ago
Dewji Blog15 Jun
Sauti Sol kuwasha moto tamasha la ZIFF usiku wa leo
Kundi la wasanii maarufu kutoka nchini Kenya Sauti Sol katika mkutano na wandishi wa habari (hawapo pichani) ndani ya Hoteli ya Doubletree by Hilton mjini Zanzibar. Kutoka kushoto ni Bien Baraza (vocalist), Chimano Austin (vocalist), Delvine Mudigi(vocalist) na Polycarp Otieno (Quitar & Vocalist).
Bien Baraza wa kundi la Sauti Sol akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana umuhimu wa wasanii kutumia mitandao ya kijamii na muziki wao katika kukemea mambo maovu yanayoendelea...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a1fa24mfK7c/VnwL_hLjZLI/AAAAAAADEL4/s6RDtJkbLzQ/s72-c/_MG_4580.jpg)
REBECCA MALOPE AWASILI NCHINI TAYARI KWA KUWASHA MOTO TAMASHA LA XMASS DIAMOND JUBILEE KESHO
![](http://3.bp.blogspot.com/-a1fa24mfK7c/VnwL_hLjZLI/AAAAAAADEL4/s6RDtJkbLzQ/s640/_MG_4580.jpg)
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Mahlangu atakiwa tamasha la Pasaka
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-5HpdB4YfG7I/VAFMswYSqKI/AAAAAAAC8mI/JSvVtq8jES4/s72-c/missTZ2014.png)
MISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI
![](http://4.bp.blogspot.com/-5HpdB4YfG7I/VAFMswYSqKI/AAAAAAAC8mI/JSvVtq8jES4/s1600/missTZ2014.png)
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
GPLMISS TANZANIA USA PAGEANT YAPAMBA MOTO, MAMISS WAANZA KUWASILI TAYARI KUWASHA MOTO LEO JUMAMOSI