Mourinho alalama kuhusu sare na Burnley
Mkufunzi wa kilabu ya Chelsea Jose Mourinho amelaumu visa vinne vilivyosababisha kilabu yake kushindwa kuifunga Burnley.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Mourinho: Alalama kurekodiwa kwa siri
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC0k8bw0sTBCWvE2kXpJCvDWBqZuOR-5GqzHrGK9rUwY4IfnuYKcPyPUn8UN6dH4P3Sh8og756Rxc9-SPFLZhXu6/14.gif?width=650)
Soma anachosema Mourinho kuhusu Kombe la Dunia
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Mourinho asema hana wasiwasi kuhusu kazi yake
10 years ago
GPLNGWASUMA, TWANGA ZILIVYOMENYANA JANA NA KUTOKA ‘SARE=SARE’
10 years ago
Vijimambo08 Nov
SARE SARE MAUA YA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN
![](https://lh3.googleusercontent.com/-lteDbPB0k6Q/VFzyB8hv2rI/AAAAAAAALW0/iLFg56JFIIw/w426-h549/kimkanyevv.jpg)
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Dakika 7 za Kumwembe na Saleh Ally wakichambua kuhusu Chelsea kumtimua Mourinho, ni sahihi? kosa lake … (+Audio)
Headlines za soka la kimataifa kwa sasa ni kuhusu uongozi wa klabu ya Chelsea kuamua kumuachisha kazi Jose Mourinho, taarifa ambazo zilitoka mchana wa December 17. Kila mtu kaongea lake ila AMPLIFAYA ya Clouds FM iliwatafuta wachambuzi na waandishi wa habari za michezo Edo Kumwembe na Saleh Ally kuhusu uamuzi wa Chelsea kumfuta kazi ni uamuzi […]
The post Dakika 7 za Kumwembe na Saleh Ally wakichambua kuhusu Chelsea kumtimua Mourinho, ni sahihi? kosa lake … (+Audio) appeared first on...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-h5p2bHM8mNM/XlKk9X6q7nI/AAAAAAALe7g/1I8O22076GQAUq2J0hIfMcbPDSzZckgIwCLcBGAsYHQ/s72-c/tariq%252Bpic.jpg)
MATOKEO YA SARE NNE MFULULIZO KWA TIMU YA YANGA YAPOTEZA MATUMAINI YA MBIO ZA UBINGWA...YATOA TENA SARE KWA COASTAL UNION ...
Yassir Simba, Michuzi Tv
MATUMAINIA ya timu ya soka ya Yanga ya jijini Dar es Salaam kuwamo kwenye mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu yamezidi kuyeyuka baada ya mchezo wake wa leo dhidi ya Coastal Union a.k.a Wagosi Wakaya kumaliza kwa sare ya bila kufungana.
Mchezo wa Yanga dhidi ya Coastal Union umefanyika leo Februari 23 mwaka huu wa 2020 ambapo kila timu ilionekana kuhitaji kuibuka na ushindi wa alama tatu lakini hadi dakika 90 zimalizika wamemaliza kwa kupata...