Soma anachosema Mourinho kuhusu Kombe la Dunia
![](http://api.ning.com:80/files/agg6MtdmQC0k8bw0sTBCWvE2kXpJCvDWBqZuOR-5GqzHrGK9rUwY4IfnuYKcPyPUn8UN6dH4P3Sh8og756Rxc9-SPFLZhXu6/14.gif?width=650)
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. KOMBE la Dunia 2014 limeanza jana, Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amefunguka mengi kuhusu maoni yake kuhusu michuano hiyo. Nani atatwaa ubingwa? Nitashangazwa kama kutakuwa na matokeo ya kushangaza. Sidhani kama kuna timu itatwaa ubingwa kwa mara ya kwanza, sijaona taifa lenye moyo huo na nguvu ya aina hiyo. Wale wa Bara la Amerika Kusini wapo vizuri na kuna timu mbili au tatu zipo safi....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Mambo 20 muhimu kuhusu Kombe la Dunia
11 years ago
BBCSwahili20 Jun
Onyo kwa wakenya kuhusu kombe la dunia
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
FIFA yaonya Brazil kuhusu maandalizi ya kombe la dunia
9 years ago
StarTV18 Aug
Soma kiundani kuhusu Taharuki ya Mv Serengeti
Abiria pamoja na wakazi wa Manispaa ya Bukoba wameingiwa na taharuki baada ya meli ya MV Serengeti kushindwa kutia nanga kwa saa tano katika bandari ya Bukoba.
Meli hiyo iliyochukua nafasi ya MV. Victoria kutoa huduma ya usafiri kati ya Mwanza na Bukoba inadaiwa kushindwa kutia nanga kutokana na hali mbaya ya hewa iliyosababishwa na upepo mkali katika ufukwe wa ziwa Victoria.
Majira ya saa kumi na moja alfajiri ,muda ambao Meli ya Mv Serengeti huwasili bandarini ,lakini jana hali ni tofauti...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-cmD0GmqM7LU/Ve_aZXHaZGI/AAAAAAAADgs/k6b4LUK5yQU/s72-c/1.jpg)
KAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA
![](http://3.bp.blogspot.com/-cmD0GmqM7LU/Ve_aZXHaZGI/AAAAAAAADgs/k6b4LUK5yQU/s640/1.jpg)
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-BIYYbwD8fT8/VhiUV65ruVI/AAAAAAAApvA/0FnoBGrSqrQ/s72-c/1.jpg)
10 years ago
BBCSwahili22 Feb
Mourinho alalama kuhusu sare na Burnley
9 years ago
BBCSwahili31 Oct
Mourinho asema hana wasiwasi kuhusu kazi yake