Soma kiundani kuhusu Taharuki ya Mv Serengeti
Abiria pamoja na wakazi wa Manispaa ya Bukoba wameingiwa na taharuki baada ya meli ya MV Serengeti kushindwa kutia nanga kwa saa tano katika bandari ya Bukoba.
Meli hiyo iliyochukua nafasi ya MV. Victoria kutoa huduma ya usafiri kati ya Mwanza na Bukoba inadaiwa kushindwa kutia nanga kutokana na hali mbaya ya hewa iliyosababishwa na upepo mkali katika ufukwe wa ziwa Victoria.
Majira ya saa kumi na moja alfajiri ,muda ambao Meli ya Mv Serengeti huwasili bandarini ,lakini jana hali ni tofauti...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV12 Sep
Soma kiundani taarifa za watu watano wafamilia moja kupewa Sumu na mmoja kufariki,
Mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la Mbuze Masibo mwenye umri wa miaka 76 adaiwa kuwapa dawa inayodaiwa kuwa na sumu watu watano wa familia moja na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Mawereru Wilaya ya Geita Septemba 8 majira ya saa tatu usiku ambapo mganga huyo alidai kuwa dawa hiyo inatibu magonjwa mia moja na familia hiyo ikaona ni vyema kunywa kwa kuwa baba wa familia alikuwa akisumbuliwa na vichomi.
Inaelezwa kuwa mganga Masibo alifika...
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
Taharuki kuhusu neno 'Allah' Malaysia
11 years ago
GPLSoma anachosema Mourinho kuhusu Kombe la Dunia
9 years ago
VijimamboKAULI MPYA YA MKAPA KUHUSU UKAWA, SOMA HAPA
Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ameponda kauli ya vyama vya upinzani kuwa vitaleta mabadiliko, akisema kazi hiyo tayari imefanywa na CCM.Akizungumza kwenye Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba wakati wa uzinduzi wa kampeini za wagombea wa chama hicho mkoani Kagera, Mkapa alisema chama pekee kilichobobea katika ukombozi ni CCM na Serikali zake zilizotangulia.Kiongozi huyo wa Serikali ya Awamu ya Tatu alisema kuwa lengo la vyama vya upinzani ni kuing’oa CCM na lengo la chama hicho tawala ni kuendelea...
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo20 Jan
HABARI YA KUSIKITISHA NA KUTISHA KUHUSU VIJANA WETU WANAOKWENDA CHINA NA HONGKONG KUUZA MADAWA YA KULEVYA SOMA HABARI KAMILI LIVE!
10 years ago
Africanjam.ComFAHAMU KIUNDANI REKODI YA JEZI NAMBA 10 DUNIANI
Hilo limechangia kwa kiasi kikubwa jezi hii kuwa na mvuto wa aina yake na kupendwa na mastaa wengi wa...
5 years ago
Michuzi9 years ago
StarTV28 Aug
Fahamu kiundani tukio la Familia kuteketea kwa moto Dar
Hii ni nyumba iliyoteketea kwa moto maeneo ya Buguruni Malapa .
Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam, mashuhuda wamethibitisha.Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40 wameteketea.
Mashuhuda wa tukio hilo wameliambia Mwanannchi Digital kuwa baba wa familia hiyo amenusurika kwa kuwa hakuwepo nyumbani, na kwamba...