Soma kiundani taarifa za watu watano wafamilia moja kupewa Sumu na mmoja kufariki,
Mganga wa kienyeji aliyejulikana kwa jina la Mbuze Masibo mwenye umri wa miaka 76 adaiwa kuwapa dawa inayodaiwa kuwa na sumu watu watano wa familia moja na kusababisha kifo cha mtu mmoja.
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Mawereru Wilaya ya Geita Septemba 8 majira ya saa tatu usiku ambapo mganga huyo alidai kuwa dawa hiyo inatibu magonjwa mia moja na familia hiyo ikaona ni vyema kunywa kwa kuwa baba wa familia alikuwa akisumbuliwa na vichomi.
Inaelezwa kuwa mganga Masibo alifika...
StarTV
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV18 Aug
Soma kiundani kuhusu Taharuki ya Mv Serengeti
Abiria pamoja na wakazi wa Manispaa ya Bukoba wameingiwa na taharuki baada ya meli ya MV Serengeti kushindwa kutia nanga kwa saa tano katika bandari ya Bukoba.
Meli hiyo iliyochukua nafasi ya MV. Victoria kutoa huduma ya usafiri kati ya Mwanza na Bukoba inadaiwa kushindwa kutia nanga kutokana na hali mbaya ya hewa iliyosababishwa na upepo mkali katika ufukwe wa ziwa Victoria.
Majira ya saa kumi na moja alfajiri ,muda ambao Meli ya Mv Serengeti huwasili bandarini ,lakini jana hali ni tofauti...
9 years ago
StarTV23 Nov
Watu watano walazwa hospitali ya Mbuyula Mbinga kwa Unywaji wa Togwa Yenye Sumu
Watu watano wamelazwa katika hospitali ya Mbuyula wilayani Mbinga mkoani Ruvuma baada ya kunywa togwa inayodhaniwa kuwa na sumu.
Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula Elisha Robert amesema wagonjwa hao ambao waliletwa hospitalini hapo wakidhaniwa kuwa wameambukizwa ugonjwa wa kipindupindu walibainika kuwa wamekunywa kinywaji aina ya Togwa ambacho kimesababisha waharishe.
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Mbuyula wilaya ya Mbinga Elisha Robati amesma aliweza kugundua kuwa homa hiyo ya...
11 years ago
Mwananchi30 Sep
Ajali ya gari Mbeya yaua watu watano wa ukoo mmoja
10 years ago
Michuzi.jpg)
WATANO WATHIBIKA KUFARIKI DUNIA JIJINI DAR ES SALAAM KUTOKANA NA MAFURIKO
.jpg)
1. Mnamo tarehe 06/05/2015 majira ya saa moja kamili usiku huko maeneo ya Magomeni Kinondoni jijini Dar es Salaam mtu mmoja jina SHABAN S/O IDD, Miaka 73, Mkazi wa Manzese alisombwa na maji ya mto...
11 years ago
Michuzi16 Apr
Homa ya kidinga popo yasambaa Tanzania, mmoja athibitika kufariki

Nchini Tanzania watu 147 wamethibitika kuwambukizwa ugonjwa wa homa ya kidinga popo yaani homa ya dengu huku mtu mmoja akiripotiwa kufariki dunia kwa ugonjwa huo. Kasi ya ugonjwa huo ambao ikiwa hautadhibitiwa unaweza kuleta madhara dalili zake zinashabihiana na zile za malaria kwani unaambukizwa kwa kupitia mbu na unadaiwa kusambaa katika maeneo mengine nchini Tanzania ingawa kwa sasa uko zaidi mjini Dare salaam. Taarifa zinasema kuwa kuna visa vya...
5 years ago
BBCSwahili01 Jun
Virusi vya corona: Rwanda yabadili msimamo wa kuondoa kafyu baada ya mtu mmoja kufariki
11 years ago
Michuzi
TAARIFA YA KANUSHO LA KUFARIKI KWA MBUNGE SHUKURU KAWAMBWA

UKWELI
Mheshimiwa Shukuru Jumanne Kawambwa yupo Nchini Canada Akitimiza majukumu yake. Hivyo Watanzania na...
11 years ago
GPL
MWILI WA MWANAFUNZI ANASTAZIA LACKFORD ANAYEDAIWA KUUNGUZWA NA KUPEWA SUMU NA BABA YAKE ULIVYOAGWA SHULENI KWAO MWANZA SEKONDARI
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Watu 113 wathibitishwa kufariki Korea Kusini