Onyo kwa wakenya kuhusu kombe la dunia
Serikali ya Kenya imewatahadharisha wananchi kuhusu usalama wao wakati huu wanapotazama michuano ya kombe la dunia.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi08 Jun
Mambo 20 muhimu kuhusu Kombe la Dunia
1 — Mechi zote za Kombe la Dunia 1930 nchini Uruguay
zilichezwa kwenye jiji moja: Montevideo.
11 years ago
GPLSoma anachosema Mourinho kuhusu Kombe la Dunia
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho. KOMBE la Dunia 2014 limeanza jana, Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amefunguka mengi kuhusu maoni yake kuhusu michuano hiyo.
Nani atatwaa ubingwa?
Nitashangazwa kama kutakuwa na matokeo ya kushangaza. Sidhani kama kuna timu itatwaa ubingwa kwa mara ya kwanza, sijaona taifa lenye moyo huo na nguvu ya aina hiyo.
Wale wa Bara la Amerika Kusini wapo vizuri na kuna timu mbili au tatu zipo safi....
11 years ago
BBCSwahili22 Jan
FIFA yaonya Brazil kuhusu maandalizi ya kombe la dunia
FIFA imetoa onyo kwa Brazil kuwa Curitiba huenda ukaondolewa miongoni mwa miji itakayoandaa fainali ya kombe la dunia kutokana na kuchelewesha kwa ujenzi
11 years ago
BBCSwahili07 Jan
Onyo kwa EAC kuhusu sarafu
Shirika la fedha duniani limeonya jumuiya ya Afrika Mashariki dhidi ya kuharakisha mpango wake wa kutaka kuwa na sarafu moja
9 years ago
Mwananchi09 Sep
NEC yatoa onyo kwa Lowassa kuhusu udini
Siku moja baada ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kukaririwa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii akidaiwa kuwataka waumini wa Kilutheri kumchagua, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeonya kitendo hicho huku ikitishia kumzuia kuendelea na kampeni.
10 years ago
BBCSwahili08 Jun
Kombe la dunia kwa wanawake
Michuano ya kombe la dunia la wanawake,inaendelea huko canada katika miji tofauti tofauti.
11 years ago
Habarileo11 Jul
Kombe la Dunia kero kwa wanawake
BAADHI ya wanawake walioolewa na wale wanaoishi kinyumba wakiwa wakazi wa mji wa Sumbawanga, wameshukuru fainali za Kombe la Dunia zinaelekea ukingoni. Ujerumani na Argentina watapambana katika mchezo wa fainali Jumapili.
11 years ago
Michuzi11 years ago
GPLRAIS KENYATTA AIPELEKA HARAMBEE STARS BRAZIL KWA ZIARA YA MAFUNZO KWA KUSHUHUDIA KOMBE LA DUNIA
Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta akitoa hotuba yake katika Ikulu ya Nairobi wakati wa hafla ya kuiaga timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars aliyoipa ofa ya kwenda ziara ya mafunzo kwenye Kombe la Dunia nchini Brazil.
Rais Kenyatta akiongea na wachezaji wa Harambee Stars.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania