Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yatoa onyo kwa Lowassa kuhusu udini

Siku moja baada ya mgombea urais wa Chadema, Edward Lowassa kukaririwa na baadhi ya vyombo vya habari na mitandao ya kijamii akidaiwa kuwataka waumini wa Kilutheri kumchagua, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imeonya kitendo hicho huku ikitishia kumzuia kuendelea na kampeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

NEC YATOA ONYO KALI DHIDI YA UKIUKWAJI WA MAADILI KIPINDI HIKI CHA KAMPENI


Kama mnavyofahamu Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani zimeanza tangu tarehe 22 Agosti, 2015 na zinaendelea hadi tarehe 24 Oktoba, 2015.
Ni jambo linaloeleweka kwamba mchakato wa Kampeni na wa Upigaji Kura unatawaliwa au kuongozwa na Sheria, Katiba na Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2015.
Katika kipindi hiki tangu Kampeni zianze, nafurahi kusema kwa niaba ya Tume kuwa kwa ujumla, Kampeni zimeenda vizuri. Karibu mikutano yote imefanyika katika hali...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

CHADEMA YATOA ONYO KUHUSU MPANGO WA KUKATA MAWASILIANO YA SIMU NA MTANDAO WA INTANETI

Chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA pamoja na umoja wa katiba ya wananchi UKAWA wamesema kuwa upo mpango unaoandaliwa na chama cha mapinduzi kwa kushirikiana na serikali kuhakikisha kuwa wanakata mawasiliano hasa ya mtandao kwa siku ya upigaji kura Tanzania,mpango ambao wamesema kuwa unasukwa kwa ajili ya kuhakikisha kuwa watanzania wanakuwa hawana mawasiliano ya haraka kupenana habari za

 

11 years ago

BBCSwahili

Urusi yatoa onyo kali kwa Ukraine

Urusi imeionya Ukraine kuancha maandalizi yoyote ya kijesh katika majimbo yanayotaka kujitenga

 

10 years ago

Habarileo

JWTZ yatoa onyo kwa wanaovamia viwanja

JESHI la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), limeonya wananchi wanaovamia maeneo yanayomilikiwa na jeshi, kuacha tabia hiyo mara moja, kwani inahatarisha usalama wa maeneo ya kambi na maisha yao.

 

10 years ago

BBCSwahili

Polio:Pakistan yatoa onyo kwa wazazi

Wazazi nchini Pakistan watakaopinga watoto wao kupewa chanjo ya ugonjwa wa kupooza wa Polio watachukuliwa hatua kali

 

10 years ago

BBCSwahili

ICC yatoa onyo kwa serikali ya Kenya

Mahakama ya ICC, imeonya serikali ya Kenya dhidi ya kufichua taarifa kuhusu kesi inayomkabili Rais Uhuru Kenyatta kwa vyombo vya habari.

 

11 years ago

Ykileo

TCRA YATOA ONYO KWA WANAOTUMIA MITANDAO KUCHAFUA WENGINE

Dr. Raynold Mtungahema Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA, imewaonya wale wote wanaotumia mitando kuchafua na kudhalilisha watu waache mara moja vinginevyo watakabiliwa na mkono wa sheria.
Onyo hilo limetolewa jana mjini Arusha na Kaimu Mkurugenzi wa mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA, Dkt, Raynold Mtungahema, alipokuwa akitoa ufafanuzi wa maswali ya wanahabari kuhusu kuenea kwa picha chafu zinazowadharirisha watu mbalimbali kwenye mitandao.


Nilipata kufafanua yakua mtandao au kifaa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo kwa EAC kuhusu sarafu

Shirika la fedha duniani limeonya jumuiya ya Afrika Mashariki dhidi ya kuharakisha mpango wake wa kutaka kuwa na sarafu moja

 

11 years ago

BBCSwahili

Onyo kwa wakenya kuhusu kombe la dunia

Serikali ya Kenya imewatahadharisha wananchi kuhusu usalama wao wakati huu wanapotazama michuano ya kombe la dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani