Mourinho atetea kumweka Costa nje
Kocha wa Chelsea, Jose Mourinho amesema mshambuliaji wake Diego Costa hayuko tayari kuanza katika michezo zaidi ya mitatu kwa wiki baada ya kumtumia kama mchezaji wa akiba katika mchezo wa juzi dhidi ya Schalke.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi25 Sep
Adhabu ya Costa yamkera Mourinho
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mourinho adai Diego Costa anaonewa
10 years ago
TheCitizen21 Sep
Mourinho, Wenger clash over bothersome Costa
9 years ago
Mtanzania01 Dec
Mourinho: Costa wala hawezi kunisumbua
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho, amesema kuwa mshambuliaji wake, Diego Costa, hawezi kumsumbua kutokana na tabia yake ya utovu wa nidhamu.
Mchezaji huyo juzi hakupata nafasi ya kucheza katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tottenham, ambapo timu hizo zilitoka suluhu, lakini alisimamishwa dakika ya 82 na kuanza kufanya mazoezi ya kupasha misuli ili aweze kuingia, lakini hadi dakika 90 zinamalizika hakupata nafasi hiyo.
Kutokana na hali hiyo, Costa aliamua kuvua jezi ya juu ambayo...
11 years ago
GPL
MOURINHO: COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI
10 years ago
Habarileo12 Jan
UVCCM kumweka kitimoto Nyalandu
SAKATA baina ya Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Singida Vijijini limechukua sura mpya baada ya kikao cha Baraza la Jumuiya hiyo kuazimia kuitisha mkutano mkuu ili kumjadili.
10 years ago
Mtanzania03 Mar
Baraza la Maadili kumweka kikaangoni Ngeleja
Aziza Masoud na Patricia Kimelemeta, Dar es Salaam
BARAZA la Maadili ya Utumishi wa Umma jana liliahirisha shughuli za kumhoji Mkurugenzi wa Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa Mujunangoma, baada ya eneo la mahojiano, Ukumbi wa Karimjee kutumika kwa shughuli za kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi, Kapteni John Komba.
Kutokana na hali hiyo, baraza hilo litaendelea na shughuli zake leo ambapo Mujunangoma atahojiwa kutokana na tuhuma za kupokea...
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Sera kumweka Rais madarakani - utafiti Twaweza