Mourinho: Costa wala hawezi kunisumbua
LONDON, ENGLAND
KOCHA wa Chelsea, Jose Mourinho, amesema kuwa mshambuliaji wake, Diego Costa, hawezi kumsumbua kutokana na tabia yake ya utovu wa nidhamu.
Mchezaji huyo juzi hakupata nafasi ya kucheza katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Tottenham, ambapo timu hizo zilitoka suluhu, lakini alisimamishwa dakika ya 82 na kuanza kufanya mazoezi ya kupasha misuli ili aweze kuingia, lakini hadi dakika 90 zinamalizika hakupata nafasi hiyo.
Kutokana na hali hiyo, Costa aliamua kuvua jezi ya juu ambayo...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MOURINHO: COSTA HAWEZI KUCHEZA MECHI TATU KWA WIKI
10 years ago
Mwananchi25 Sep
Adhabu ya Costa yamkera Mourinho
10 years ago
Raia Mwema21 Oct
Kingunge hawezi kujitenga na mafanikio wala udhaifu wa CCM
TANGU kutangaza kujiondoa rasmi kutoka uanachama wa CCM aliyekuwa muitikadi mkuu wa chama hicho,
Mwandishi Wetu
11 years ago
Mwananchi19 Sep
Mourinho atetea kumweka Costa nje
10 years ago
BBCSwahili29 Sep
Mourinho adai Diego Costa anaonewa
10 years ago
TheCitizen21 Sep
Mourinho, Wenger clash over bothersome Costa
11 years ago
Bongo524 Aug
New Video: Chris Bee f/ G Sacha & Silvia – Wala Wala
11 years ago
Tanzania Daima09 Feb
AY: Diamond hawezi kunifunika
NYOTA wa muziki wa Bongo fleva nchini, Ambwene Yesaya ‘AY’, amesema msanii mwenzake, Naseeb Abdul ‘Diamond Platinum’, hawezi kuathiri muziki wake kwani kila mtu ana malengo yake katika fani hiyo....