Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Movemba — Kampeni ya mwamko wa kansa ya tezi dume

BL25APOLLO1_1024016g

Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Hospitali ya Apollo yenye makao makuu nchini India, Dk Prathap C. Reddy.

Katika mwezi wa Novemba kila mwaka jumuiya za kimataifa huadhimisha tukio ambalo  hujulikana kama Movemba. Kampeni hiyo inahusisha kukuza kwa masharubu, kukusanya fedha na kuleta mwamko na ufahamu wa masuala ya afya kwa wanaume kama vile kansa ya tezi dume, kansa ya pumbu na saratani  nyingine nyingi zinazowapata wanaume. Jina hilo ni mchanganyiko wa neno “masharubu” na “Novemba”. Kampeni...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AWASILI NAIROBI KUHUDHURIA MKUTANO WA WAKE WA MARAIS WA AFRIKA KUHUSU KANSA YA MATITI,SHINGO YA KIZAZI NA TEZI DUME

 Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akipokea ua kutoka kwa binti Esther Wanjiru anayelelewa katika Kituo cha watoto cha Mama Ngina huko Nairobi muda mfupi  baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta nchini Kenya tarehe 19.7.2015.  Mama Salma yupo nchini Kenya kuhudhuria Mkutano wa 9 wa wake wa Marais wa Nchi za Afrika unaozungumzia masuala ya kansa Barani Afrika.  Balozi wa Tanzania nchini Kenya Ndugu John Haule akisalimiana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati...

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete aagiza kuanzishwe kampeni saratani ya tezi dume

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kuanzisha kampeni ya saratani ya tezi dume.

 

10 years ago

Michuzi

Harambee ya kuchangia mapambano dhidi ya kampeni ya tezi dume

 Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid akiongea na wageni waalikwa  na kuwashukuru wakati wa hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kupambana  na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dares Salaam. Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo  (WAMA) Daudi Nassib  akiwakilisha mchango wa Sh. milioni tano ambazo ni mchango wa hospitali za mkoa huo pamoja na halimashauri tatu   kwa ajili ya kupambana na ugonjwa wa tezi dume iliyofanyika kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Saratani ya tezi dume ni hatari

 Pamoja na maelezo ya Rais Jakaya Kikwete aliyotoa juzi juu ya ugonjwa wa saratani ya tezi dume mara baada ya kurejea nchini kutoka Marekani alikotibiwa, maswali kuhusu ugonjwa huo bado ni mengi na hivyo kuhitaji ufafanuzi.

 

10 years ago

Michuzi

mwandani wa saratani ya tezi dume

Saratani ya tezi dume inashika nafasi ya tatu kwa kusababisha vifo vinavyotokana na kansa kwa wanaume duniani. Pia ni chanzo kikuu cha vifo vinavyosababishwa na saratani kwa wanaume wenye umri wa miaka 70 na kuendelea. Hata hivyo, satarani ya tezi dume kwa sasa inawapata sana wanaume kuanzia miaka 25. Lakini kabla ya kuendelea mbele hebu kwanza tujue tezi dume ni zipi.

SARATANI NI NINI?Saratani ni jina la gonjwa ambao hutokea wakati chembe chembe za uhai au seli katika sehemu fulani ya mwili...

 

10 years ago

Vijimambo

JK AFANYIWA UPASUAJI WA TEZI DUME

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt. JakayaMrisho Kikwete akizungumza na Dkt.Edward Shaeffer wa hospitali ya Johns Hopkins na Daktari wa Rais Profesa Mohamed Janabi(kulia) baada ya kuwasili katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyopo Baltimore, Maryland, Marekani kwa upasuaji Jumamosi asubuhi. Upasuaji huo uliochukua muda wa saa moja na nusu ulifanyika salama.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na daktari Bingwa Mpasuaji Edward Shaeffer muda mfupi kabla ya kuingia...

 

10 years ago

Mwananchi

Nilikuwa na saratani ya tezi dume-JK

Rais Jakaya Kikwete amerejea nchini kutoka kwenye matibabu na kuwaeleza Watanzania kuwa alikuwa akiiumwa saratani ya tezi dume.

 

10 years ago

Mwananchi

Saratani ya tezi dume ni muuaji wa kimyakimya

Watu wengi wamekuwa na shauku ya kutaka kujua ugonjwa wa saratani ya tezi dume, huku wakidhani ni mpya. Lakini ukweli ni kuwa umekuwapo miaka mingi na wengi wameugua.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kikwete afanyiwa upasuaji wa tezi dume

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amefanyiwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) katika Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko Marekani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani