Moyo atimuliwa CCM Zanzibar
Zanzibar. Chama cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) kimemfukuza uanachama Mwanasiasa Mkongwe Hassan Nassor Moyo baada ya kubainika amekuwa akifanya vitendo vinavyokwenda kinyume na maadili ya chama ikiwamo kuhutubia mikutano ya hadhara inayoitishwa na Chama cha Wananchi (CUF) na kukejeli misingi ya Mapinduzi na Muungano wa Tanganyika na Zanzibar imefahamika visiwani humo jana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen29 Oct
Forge a democratic Zanzibar, Moyo tells CCM
10 years ago
Vijimambo20 Apr
Zanzibar yatibuka.CUF wafurushwa kwa mabomu, Nassoro Moyo afukuzwa CCM.

Jeshi la Polisi Zanzibar, limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wafuasi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliokuwa wakikaidi amri ya kutotoka wilaya moja kwenda nyingine kuhudhuria mkutano wa hadhara. Inakumbukwa kwamba baada ya wafuasi wa CUF kushambuliwa mwishoni wa mwezi uliopita wakitoka katika mkutano uliofanyika katika Kijiji cha Makunduchi, Mkoa wa Kusini Unguja, polisi waliitisha mkutano nabaadhi ya vyama vya siasa na...
11 years ago
Mwananchi08 Oct
Kura ya hapana: Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar atimuliwa
10 years ago
VijimamboKIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. YAPITISHA JINA LA DK SHEIN KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM.
10 years ago
Dewji Blog06 Aug
Mwenyekiti UWT Ikungi atimuliwa CCM, aenda Chadema aangukia pua
Katibu wa CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Aluu Segamba,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo kwenye picha),juu ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wilayani humo, Christina Hamisi kujivua unachama na kufukuzwa kazi kwa madai ya kuvunja sheria, kanuni na taratibu za chama tawala.(Picha na Nathaniel Limu).
Kaimu Katibu wa CCM Mkoa wa Singida, Mary Maziku akizungumza na wanahabari juu ya kufukuzwa uongozi aliyekuwa Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Ikungi Christina Samwel...
10 years ago
Habarileo20 Apr
Nassor Moyo afukuzwa CCM
MWANASIASA mkongwe na kada wa CCM aliyepata kushika nyadhifa mbalimbali ikiwa ni pamoja na uwaziri, Mzee Hassan Nassor Moyo amefukuzwa uanachama wa chama hicho ambacho yeye ni mmoja wa waasisi wake, akiwa mwanachama namba 7.
10 years ago
Mtanzania20 Apr
Mzee Moyo afukuzwa CCM
NA SARAH MOSSI, ZANZIBAR
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemfukuza uanachama mmoja wa waasisi wa chama hicho Visiwani, Mzee Hassan Nassor Moyo.
Hatua hiyo ilitangazwa jana na Katibu wa CCM Mkoa wa Magharibi Unguja, Aziza Iddi Mapuri katika taarifa aliyoitoa kwa vyombo vya habari mjini hapa.
Mapuri alisema Mzee Moyo anadaiwa kukisaliti chama hicho kwa kukiuka maadili na kutoa matamshi yasiyokubaliana na sera za chama chao.
Alisema Mzee Moyo alitumia majukwaa ya siasa katika mikutano...
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Moyo:Mambo saba yataiponza CCM
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Uamuzi huo wa CCM haunisumbui-Moyo