MPIGANAJI HENRY LYIMO (KIPESE) WA MOSHI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA PIKIPIKI
Marehemu Henry Lymo maarufu kama Kipese.Na Dixson Busagaga
TASNIA ya Habari na michezo mkoani Kilimanjaro imepata pigo kufuatia kifo cha ghafla cha Mtangazaji wa kituo cha radio cha Moshi FM Henry Lyimo, maarufu kama Kipese. Marehemu Kipese amefariki dunia usiku wa jana akiwa njiani akitokea Rombo katika eneo la njia Panda, Himo, baada ya pikipiki aliyokuwa akitumia kugongana na pikipiki nyingine.
Taarifa za awali zinasema Marehemu Kipese alikuwa akitokea wilayani Rombo ambako amekuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI(MUWSA)AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI
Ajali mbaya imetokea barabara kuu ya Arusha Moshi ikihusisha Lori aina ya Sacania lenye namba za Usajili T 137 ATA na pikipiki aina ya Suzuki yenye namba SU 40262 mali...
11 years ago
GPLMFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA MJINI MOSHI (MUWSA) AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI
11 years ago
MichuziMPIGANAJI MAXIMILIAN NGUBE AFARIKI DUNIA
MAREHEMU MAXIMILIAN AMBAYE ALIFAHAMIKA SANA KWA JINA LA PAPAA MAX,ALIKUWA NI MPIGA PICHA HODARI WA KITUO CHA TELEVISHENI CHA MLIMANI TV.
GLOBU YA JAMII IMEPOKEA TAARIFA ZA MSIBA HUU KWA MASIKITIKO MAKUBWA SANA NA TUNAMUOMBEA KWA MWENYEZIMUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU MAXIMILIAN NGUBE MAHALI PEMA PEPONI.
-AMIN.
10 years ago
Michuzimpiganaji Edson Kamukara afariki dunia
Mhariri wa Mwana Halisi Online, Edson Kamukara (pichani), amefariki Dunia kwa ajali ya moto nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam leo hii majira ya saa moja kasorobo jioni, baada ya kulipukiwa na jiko la gesi, habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Polisi wameuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuhifadhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi wa kifo chake.
Ofisa Uhusiano wa NMB, Viccent Mnyanyika akimkabidhi zawadi marehemu Edson Kamukara wakati wa uhai wake...
10 years ago
MichuziMpiganaji Kyaloeichi Oko Kessy afariki dunia
Mpwa wa marehemu Tumaini Msengi amesema hayo leo kuwa marehemu alikuwa anasumbuliwa na ugonjwa wa kisukari na shinikizo la damu kwa muda mrefu na amekuwa akitibiwa katika hospitali mbalimbali za jijini Dar es Salaam hadi jana ambapo mauti yalimkuta.
Kabla hajaanza kuugua Kessy alikuwa mwandishi wa kujitegemea akiandika zaidi uchambuzi na makala katika vyombo...
11 years ago
MichuziMWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI JIJINI MBEYA
MWANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA BARABARANI.
gari ambalo halikuweza kufahamika namba zake za usajili wala jina la dereva wake lilimgonga mtembea kwa miguu mwanafunzi wa darasa la pili katika shule ya msingi mbuyuni aliyetambulika kwa jina la daima faida (08) mkazi wa mbuyuni na kusababisha kifo chake papo hapo. ajali hiyo ilitokea majira ya saa 06:55hrs asubuhi...
9 years ago
VijimamboMGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUSHOTO KWA CHAMA CHA CHADEMA MOHAMMED MTOI AFARIKI DUNIA KATIKA AJALI YA GARI
Mungu aiweke roho ya Marehemu Mohamed Mtoi Kanyawana mahali Pema Peponi
10 years ago
GPLMWENDESHA PIKIPIKI ANUSURIKA KATIKA AJALI MOROCCO
10 years ago
GPLDK MUNROE AFARIKI DUNIA KWA AJALI