Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpiganaji Sunday Simba Shomari aadhimisha miaka mitatu ya ndoa

Leo ni mwaka wa tatu tangu niingie kwenye klabu hii ya wajanja na kuaga ukapela kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa mke bora na familia njema , pia naomba aendelee kutoa Baraka zake kwa familia yetu daima na tusonge mbele na safari Empress wangu pendo la moyo wangu.Mungu ndiye kiongozi wetu. Amina - Sunday Simba Shomari

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mdau Sunday Shomari atia baraka ndani ya Ofisi za MMG

IMG_0590Mdau Sunday Shomari akiwa na Ankal wakati alipotembelea ndani ya ofisi Michuzi Media Group (MMG) mara tu baada ya kuwasili jijini Dar es alaam. IMG_0594

 

10 years ago

GPL

MTANGAZAJI SUNDAY SHOMARI WA VOA ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS LEO

Mtangazji wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA), Sunday Shomari akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Sunday Shomari akiwa katika pozi na wahariri wa Magazeti ya Global…

 

11 years ago

Mwananchi

Simba, Yanga zafukuza makocha tisa miaka mitatu

Wakati Yanga imesitisha mkataba wa kazi wa kocha wake, Ernest Brandts imebainika kuwa Yanga na Simba zimefukuza makocha tisa kwa kipindi cha miaka mitatu.

 

10 years ago

Vijimambo

DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.

· 
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...

 

10 years ago

Vijimambo

UBATIZO NA BASH LA KUZALIWA MTOTO ERNEST SIMBA SHOMARI

Wasimamizi wa Ernest Pius Mutalemwa na Harrieth Shangarai pamoja na wazazi na mapadre Munishi na Shao wakimbatiza mtoto Ernest huko Baltimore Md Jumapili Mei 31,2015 katika kanisa la Mt.Edwards.Padre Honest Munishi akiwa na wazazi na wasimamizi kwenye ubatizo. Wazazina wasimamizi.
Nikisoma somo. Wazazi na mtoto Ernest. Rose. Ernest akimwona Mickey Mouse Live kwa mara ya kwanza na kubadilishana nae mawazo. "Three The Hard Way" The Manase's. Brian akipiga kinanda. Cd na familia. "Menyu". ...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Atupwa jela miaka mitatu

MAHAKAMA ya Wilaya Ilala imemuhukumu Mwanamuziki wa Bendi ya Achigo, Frank Ndokezi (41) kutumikia kifungo cha miaka mitatu jela kwa kosa kuiibia Ofisi ya Usaki Sacos Sh. milioni 19.8, kutakiwa kulipa faini ya fedha hizo mara baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo

Hukumu hiyo ilitolewa jana Mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Juma Hassan, Wakili wa Serikali Ferista Mosha.

Hakimu Hassan alisema upande wa mashitaka ulikuwa na mashahidi watano waliotoa ushahidi ili kuweza kuthibitisha...

 

10 years ago

Habarileo

Wivu wampeleka jela miaka mitatu

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu Rebecca Nyangolema (30) kifungo cha miaka mitatu jela pamoja na kulipa fidia ya Sh 350,000 baada ya kupatikana na hatia ya kumshambulia kwa maji ya moto mlalamikaji na kumsababishia maumivu.

 

10 years ago

GPL

MIAKA MITATU MUHIMBILI BILA MATIBABU

Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) anayesumbuliwa na uvimbe usoni. Na Haruni Sanchawa/Uwazi Alikuja Muhimbili ili akafanyiwe upasuaji India, alipelekwa akarudishwa bila kutibiwa, awaita ndugu zake hospitalini. Kijana Amosi Ng’arare Marale Sasi,(22) mkazi wa Kijiji cha Kizaru, Kata ya Mryaza, wilayani Musoma Vijijni amepoteza mwelekeo wa maisha baada ya ndoto yake ya kusoma hadi chuo kikuu kuishia njiani...

 

9 years ago

Michuzi

KUMBUKUMBU MIAKA MITATU YA MWANAHABARI MWANGOSI

Aliyekuwa Katibu wa klabu ya waandishi wa habari mkoa wa Iringa Frank Leonard (Kulia) akifungua mkutano mkuu wa IPC jana katika ukumbi wa Maktaba ya Iringa katikati ni Daud Mwangosi ambaye alikuwa ni mwenyekiti wa IPC akifikiri jambo.Aliyekuwa mwenyekiti wa IPC Daud Mwangosi (kushoto) akihojiwa na mzee wa matukio daima Bw Francis Godwin  ambaye alikuwa ni katibu msaidizi wa IPC juu ya wanahabari kudumisha umoja na mshikamano wakati wa uhai wake.

Mwandishi wa habari wa Chanel Ten mkoa wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani