Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mpigania Haki za binaadamu Mexico auawa

Mtetezi wa haki za binaadam nchini Mexico, amekutwa amekufa baada ya kupigwa risasi mwishoni mwa wiki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tanzania: Uchaguzi wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki, hatukiuki haki za binaadamu ni propaganda tu



Serikali ya Tanzania kupitia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi imeihakikishia dunia kwamba uchaguzi mkuu ujao, utakuwa huru na wa haki.

Kabudi ameyasema hayo kwenye hafla ya kukaribisha mwaka mpya ambapo amekariri ahadi ya Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo aliyoitoa akizihakikishia jumuiya za kimataifa kuhusiana na suala hilo. Akizungumza na mabalozi na wawakilishi wa taasisi za kimataifa jijini Dar es Salaam Kabudi amesema:  “Mwaka huu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Haki za binaadamu:Obama aionya Ethiopia

Rais Obama katika ziara yake ya kwanza ya rais wa Marekani nchini Ethiopia amelionya taifa hilo kwamba linahitaji kuimarisha haki zake za kibinaadamu pamoja na uongozi bora.

 

10 years ago

Michuzi

SAFARI NGUMU YA MWANAHARAKATI FATUMA MISANGO MPIGANIA HAKI ZA WANAWAKE, WATOTO SONGEA

Fatuma Misango mwenye mtandio mweusi kichwani akizungumza na mmoja wa wanawake waliotendwa.-------------------------Mwandishi HANNAH MAYIGE, wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania – OUT, anaangazia safari ngumu ya mwanaharakati mwanamke mzaliwa wa Namtumbo,  Mratibu wa  Kituo cha wasaidizi wa sheria Songea, Bi. Fatuma Misango katika harakati za kupigania haki za wanawake, watoto na  kupinga ukatili wa kijinsia.
     “Mimi  naitwa  Fatuma  Misango,  ni Mratibu  wa  kituo  cha  wasaidizi  wa sheria ...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKUU WA ZANIZBAR, OMAR OTHMAN MAKUNGU AZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINAADAMU

Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akitoa hotuba kwenye uzinduzi wa ripoti hiyo jana. Sherehe ya uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria, Migombani mjini Zanzibar jana.
Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akionyesha vitabu vya Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria Migombani mjini Zanzibar jana. Picha na Martin Kabemba..

 

9 years ago

Vijimambo

KITUO CHA HUDUMA ZA SHERIA CHATOA MAFUNZO YA HAKI ZA BINAADAMU KWA VIKOSI VYA SMZ

Kamanda wa Polisi mkoa wa kusini Pemba ‘RPC’ Juma Yussuf Ali, akifungua mafunzo ya siku mbili yaliowahusisha Polisi jamii na Vikosi na Idara maalumu ya ‘SMZ’ Pemba, juu ya haki za binadamu, yalioandaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar ‘ZLSC’ tawi la Pemba, kulia ni Mratibu wa mfaunzo hayo, Khalfan Amour Mohamed, na kushoto ni mtoa mada kutoka afisi ya ‘DPP ‘Pemba Mohamed Ali JumaMratibu wa mafunzo ya haki za binadamu kwa Vikosi na Idara maalumu za SMZ, Khalfan Amour Mohamed akielezea...

 

5 years ago

CCM Blog

DKT. SHEIN: SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR (SMZ) INATEKELEZA HAKI ZA BINAADAMU KWA KUTOA AFYA NA ELIMU BURE

  Na.Mwandishi Wetu-MAELEZORais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Serikali inatekekeleza utawala bora kwa wananchi kwa kuwapatia huduma za jamii zikiwemo elimu na  afya zinazotolewa bure.
 Akizungumza alipokutana na ujumbe wa watendaji wa juu wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Ikulu Zanzibar, Dkt. Shein alisema kuwa Serikali inatakeleza kwa vitendo dhana ya utawala bora ikiwa ni utekelezaji wa dhana iliyoasisiwa na Hayati. Abeid...

 

10 years ago

BBCSwahili

Haki itatendeka kwa wanafunzi:43 Mexico

Mwanasheria mkuu Mexico, Jesus Murillo Karam,aahidi haki itatendeka katika kesi ya kupotea wanafunzi 43 miezi miwili iliyopita.

 

10 years ago

Mwananchi

Familia ya mpigania uhuru kwenye lindi la umasikini

Mkoa wa Kagera, zamani ulijulikana Mkoa wa Ziwa Magharibi, jina la Alli Matata ni maarufu sana. Ni jina lililotokana na uzalendo wake wa kupinga sheria kandamizi za kikoloni na hata kumng’ata kidole mzungu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani