Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SAFARI NGUMU YA MWANAHARAKATI FATUMA MISANGO MPIGANIA HAKI ZA WANAWAKE, WATOTO SONGEA

Fatuma Misango mwenye mtandio mweusi kichwani akizungumza na mmoja wa wanawake waliotendwa.-------------------------Mwandishi HANNAH MAYIGE, wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania – OUT, anaangazia safari ngumu ya mwanaharakati mwanamke mzaliwa wa Namtumbo,  Mratibu wa  Kituo cha wasaidizi wa sheria Songea, Bi. Fatuma Misango katika harakati za kupigania haki za wanawake, watoto na  kupinga ukatili wa kijinsia.
     “Mimi  naitwa  Fatuma  Misango,  ni Mratibu  wa  kituo  cha  wasaidizi  wa sheria ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI CHIKAWE AKUTANA NA MWANAHARAKATI WA KIMATAIFA WA HAKI ZA WANAWAKE NA WATOTO, GRACA MACHEL JIJINI DAR LEO

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe amekutana na Mwanaharakati wa Kimataifa wa haki za wanawake na watoto, Graca Machel na kujadili masuala mbalimbali ya haki za wanawake na watoto katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.
Katika mazungumzo yao, Waziri Chikawe alimwambia mke huyo wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, juhudi zake za kuingiza katika Katiba Mpya kifungu cha kuzuia mtoto wa chini ya miaka 18 asioe wala asiolewe.
Hata hivyo, Mama Machel...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mpigania Haki za binaadamu Mexico auawa

Mtetezi wa haki za binaadam nchini Mexico, amekutwa amekufa baada ya kupigwa risasi mwishoni mwa wiki.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanawake, watoto tambueni haki zenu’

WANAWAKE na watoto wametakiwa kuzitambua haki zao za kimsingi katika jamii ili kuepukana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia vinavyokithiri wilayani Karagwe. Mkurugenzi Mtendaji wa asasi isiyo ya kiserikali ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Nyilawila: Safari yangu Czech ilikuwa ngumu

“Sitaisahau safari yangu ya Jamhuri ya Czech niliyokwenda kucheza pambano la ubingwa wa dunia la WBF, ilikuwa safari ngumu kwangu, nikiwa kwenye ndege muda mwingi niliutumia kuwaza nitachezaje bila kuwa na kocha wa kunisaidia ulingoni?,” ndivyo anaanza kusimulia bondia namba mbili nchini wa uzani wa super middle, Karama Nyilawila.

 

5 years ago

Michuzi

“Tume ya Haki za Binadamu Ina Jukumu Kubwa la Kulinda Haki za Wanawake na Watoto”-BALOZI SEIF

Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akipokea kitabu
kinachohusu masuala ya haki za binadamu na utawala bora kutoka kwa Mwenyekiti na
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu Mathew Mhina,
Walipomtembelea Ofisini kwake leo Juni 3, 2020 Vuga Mjini Zanzibar.
Mwenyekiti na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Jaji Mstaafu
Mathew Mhina, akiteta jambo na Makamu Mwenyekiti, wa Tume ya Haki za Biadamu
na Utawala Bora, Mohamedi Khamis Hamadi, wakati wa ziara yake...

 

10 years ago

Michuzi

MWANAHARAKATI BI RITHI HAJI ALI AWATAKA WANAWAKE WENZAKE KUGOMBANIA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI

Na Maryam Kidiko-MaelezoZanzibar        Mwanaharakati  wa  Masuala ya Wanawake wa Jimbo la Mwana kwerekwe  Bi Rihi Haji Ali amewataka Wanawake wenzake  kujitokeza kwa wingi kugombania nafasi mbali mbali za Uongozi ili kuweza kutetea haki zao .
Hayo ameyasema  huko Mwanakwerekwe wakati akizungumza na Waandishi wa habari katika suala zima la wanawake kuacha woga na kujitokeza kwa wingi kugombania  ili waweze  kujisemea wenyewe na kupata haki zao za kimsingi. 
Hata hivyo amesema wakati umefika...

 

11 years ago

GPL

MUUNGANO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI YANAYOTETEA HAKI ZA WANAWAKE WASHEREKEA SIKUKUU YA WANAWAKE DUNIANI

Kutoka kushoto ni Miss Tanzania 2013 Happy Watimanywa , Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi, na Specioza Rweyemamu ambaye ni Ispecta katika mambo ya anga katika Mamlaka wa usafiri wa Anga Tanzania, ambao ndio walikuwa wasemaji katika sherehe hizo
  Dk. Agnes Nyomola kutoka Chuo kikuu cha Dar es salaam ambaye ni Mtaalam wa mambo ya Sayansi akizungumza na wanafunzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani