Nyilawila: Safari yangu Czech ilikuwa ngumu
“Sitaisahau safari yangu ya Jamhuri ya Czech niliyokwenda kucheza pambano la ubingwa wa dunia la WBF, ilikuwa safari ngumu kwangu, nikiwa kwenye ndege muda mwingi niliutumia kuwaza nitachezaje bila kuwa na kocha wa kunisaidia ulingoni?,†ndivyo anaanza kusimulia bondia namba mbili nchini wa uzani wa super middle, Karama Nyilawila.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi03 Jan
LUCKY SABAS : Kuwa mbunifu wa mitindo ilikuwa ndoto yangu
10 years ago
CloudsFM23 Jan
SHAMSA FORD:FILAMU YA ‘I HATE MY WIFE’ ILIKUWA NI NGUMU SANA KWANGU KUIGIZA,KWA SABABU YA KUIGIZA KICHAWI.
Msanii wa filamu za Kibongo,Shemsa Ford amefunguka kati ya filamu iliyompa wakati mgumu wakiwa ‘’location’ ni filamu ya I hate my wife kwani aliigiza kama mke mchawi anayemroga mumewe.
’Yaani kati ya filamu iliyonipa wakati mgumu kuigiza ni wakati naigiza filamu ya I hate my wife kutokana na kuigiza kama mchawi mshabiki walijua kuwa ndiyo tabia yangu lakini pia kuvaa uhusika wa kiuchawi ni ngumu sana’’alisema Shemsa Ford.
10 years ago
MichuziSAFARI NGUMU YA MWANAHARAKATI FATUMA MISANGO MPIGANIA HAKI ZA WANAWAKE, WATOTO SONGEA
“Mimi naitwa Fatuma Misango, ni Mratibu wa kituo cha wasaidizi wa sheria ...
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Liwalo na liwe na mimi ninaianza safari yangu!
RAIS wangu, na mimi nimeazimia kuianza safari yangu. Lakini safari yangu siyo ya ndotoni. Sijaota. Safari yangu ni safari kindakindaki! Mwenzetu mmoja alitangaza kuianza safari yake; La la la! Kelele...
11 years ago
Tanzania Daima19 Feb
Liwalo na liwe na mimi ninaianza safari yangu — 2!
RAIS wangu, kwa wale ambao hawakusoma utangulizi wa safari yangu niliandika kuwa liwe na liwalo na mimi nimeazimia kuianza safari yangu. Lakini mimi sioti. Safari yangu ni safari kindakindaki! Mwenzetu...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/gr1mB0eWx2c/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies25 Jul
Wema: Safari Yangu ya Siasa Ndiyo Kwanza Inaanza
Nilivyo amua kugombea viti maalum, nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii nimekosa, ila dunia bado inazunguka. Nawapongeza walioshinda. Nawashukuru mlioniunga mkono, Mungu aendelee kuwabariki kwa mapenzi yenu juu yangu, yananipa moyo.
Nawashukuru pia wote mlionipinga maana mmeniongezea ujasiri na nina nguvu mpya ya kuthubutu upya. 2015 ni mwaka wa kipekee kwenye muamko wa vijana Tanzania. Bigger things loading.. Most of all Nilizaliwa nikiwa katika Chama Cha Mapinduzi na nitakufa nikiwa...
9 years ago
Dewji Blog24 Nov
Coke Studio ni moja ya mafanikio katika safari yangu ya muziki-Ben Paul
.Wanamuziki Ben Paul na Fid Q wanaoshiriki kwenye onyesho la Coke Studio wakiwa katika picha ya pamoja na washabiki wao wakati wa uzinduzi wa onyesho hili jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
![BEN 3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/BEN-3.jpg)
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Vikwazo vya kibiashara dhidi ya Czech kuondolewa
NA SUBIRA SAID, TSJ
SERIKALI imeandaa mpango wa kuondoa vikwazo vinavyokwamisha ukuaji wa biashara na Jamhuri ya Czech.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji na Uwezeshaji), Dk. Mary Nagu, alisema hayo jana alipokuwa akifungua kongamano la kibiashara kati ya Tanzania na Jamhuri ya Czech.
Alisema mpango huo utawawezesha wawekezaji na wafanyabiashara kutumia fursa zilizopo ili kukuza uchumi na maendeleo ya nchi hizo.
Dk. Mary alisema tayari serikali imetayarisha mpango huo na inatarajia...