Mpoto adai kama asingekuwa msanii angekuwa mpishi
Mrisho Mpoto amedai kama asingekuwa msanii wa muziki, angekuwa mpishi wa vyakula kwa kuwa anapenda kupika. Akizungumza na Global TV, Mpoto alisema kuwa msanii wa muziki ni kitu ambacho hakikutarajia katika maisha yake. “Mimi napenda sana kula labda ningekuwa mpishi,@ alisema Mpoto. Aliongeza, “Mimi nimetokea uswahilini sana tulikuwa hatuna masuala ya vision wala mission. Mimi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM13 Nov
TWAWEZA: KAMA UCHAGUZI UNGEFANYIKA LEO LOWASSA ANGEKUWA RAIS
Matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeibuka mshindi.
Wakati Lowassa angeibuka na ushindi kwa asilimia 13 na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda angefuatia kwa karibu akiwa na asilimia 12 huku Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akiwa wa tatu kwa asilimia kumi na moja.
Hata hivyo, asilimia 33 ya wananchi waliohojiwa walisema bado hawajaamua wampigie kura mgombea gani.
...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88Ay9FUvKm5M-ghX5pA2A8ZgHU2pFjkxPDwX4zaKSR9rlcA2bi9n-dm4NsaW2RK12j*45ivEsTZPB5qFD-G0Yx3qU/kiba.gif?width=650)
MSANII ADAI KUTOA MIMBA YA ALI KIBA
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
Adai ardhi kama ufalme wake Afrika
9 years ago
Habarileo09 Sep
Lema adai kama si kesi angefanya makubwa
MGOMBEA ubunge kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika jimbo la Arusha, Godbless Lema, amewaomba wananchi wa jiji hilo kumpa kura kwani amefanya mambo mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kuhakikisha mapato ndani ya halmashauri yanaongezeka, licha ya kile alichodaiwa kubambikwa kesi.
9 years ago
Bongo521 Dec
Julio adai hatokata tamaa na muziki hata kama haumlipi
![Mshiriki wa BBA Julio](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/05/Mshiriki-wa-BBA-Julio-200x133.jpg)
Staa wa muziki na mshiriki wa shindano la Big Brother Africa 2012, Julio Batalia, amesema hategemei muziki umlipe kwani bado yupo kwenye hatua za kujitangaza.
Julio ameiambia Bongo5, kuwa ingawa muziki umekuwa wa gharama kubwa katika maandalizi, hana budi kuendelea kufanya hivyo hivyo ili kujitenga.
“Mimi naamini muziki ni process ya muda mrefu,” amesema. “Kwahiyo mafanikio huenda yakachelewa lakini yatakuja tu. Kwahiyo mimi nipo katika stage hiyo sijali sana muziki unilipe kwa sasa kwa...
9 years ago
Bongo509 Oct
Ben Pol adai alikuwa haamini kama atafanikiwa bila kuwa na management
9 years ago
Bongo501 Dec
Msanii wa Nigeria Burna Boy aponda mfumo wa muziki wa Nigeria, adai umejaa siasa
![Burna-Boy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Burna-Boy-300x194.jpg)
Muimbaji wa Dancehall kutoka Nigeria, Burna Boy ameponda mfumo wa muziki wa Nigeria na kudai kuwa umejaa siasa ndio sababu hapati tuzo nyingi anazostahili.
Akizungumza na jarida la Fader, Burna amesema kutokana na hayo anajiona kama yeye si sehemu ya muziki wa Nigeria kwasababu kuna baadhi ya watu walioutawala muziki huo wasiompenda.
“Kusema kweli ni siasa tupu, sijioni kama ni sehemu ya kiwanda cha muziki, angalia tuzo, sipati tuzo kwasababu wanaoutawala hawanipendi, mimi sio kama...
9 years ago
Bongo528 Dec
Don Jazzy atangaza kustaafu muziki mwaka 2016 kama msanii
![don jazzy](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/don-jazzy-300x194.jpg)
Don Jazzy, producer na muimbaji kutoka Nigeria amesema kuwa mwaka 2016 ana mpango wa kuacha kuimba na kubaki kuwa producer.
Don Jazzy ambaye ni boss wa Mavin Records yenye wasanii kama Tiwa Savage, ametangaza uamuzi huo kupitia Twitter.
This artist work no easy jare. 2016 I'm retiring my artist side jor. #OneLagosFiesta for now sha.
— DON JAZZY (@DONJAZZY) December 27, 2015
Aliendelea kuthibitisha alichokimaanisha kama kweli anaacha kuimba baada ya shabiki mmoja kumuuliza kama yuko serious,...