MRADI WA MAJARIBIO WA KUFUNDISHA MASOMO YA SAYANSI WA UNESCO WANEEMESHA TANZANIA
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0018.jpg)
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akisoma risala ya kufungwa kwa mradi huo ambao uliojulikana kama Micro Science Kits (MSKs) kwa wadau wa elimu, wakuu wa shule mbalimbali, maafisa elimu na maofisa wa serikali kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za shirika hilo jijini Dar. Â Pichani juu na chini ni baadhi ya wadau wa elimu, wakuu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog01 Sep
Mradi wa majaribio wa kufundisha masomo ya sayansi wa UNESCO waneemesha Tanzania
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) Tanzania, Zulmira Rodrigues akisoma risala ya kufungwa kwa mradi huo ambao uliojulikana kama Micro Science Kits (MSKs) kwa wadau wa elimu, wakuu wa shule mbalimbali, maafisa elimu na maofisa wa serikali kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za shirika hilo jijini Dar.
Na Mwandishi wetu
MRADI wa miaka minne wa kusaidia ufundishaji wa masomo ya sayansi kwa kufanikisha majaribio ya maabara...
9 years ago
GPLWANAFUNZI NA WALIMU BORA WA MASOMO YA SAYANSI WANEEMEKA NA NMB
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0019.jpg)
UNESCO KUPITIA READ INTERNATIONAL WATOA MSAADA WA VITABU VYA SAYANSI KWA SHULE YA SEKONDARI MWEDO ARUMERU
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--ojR6ajTTOo/VWLpkSPcT-I/AAAAAAAHZlo/EOiCTyH5ypM/s72-c/images.jpg)
SERIKALI YA TANZANIA NA UNESCO KUADHIMISHA WIKI YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA NA KUZINDUA MRADI WA NYARAKA ZA URITHI WA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/--ojR6ajTTOo/VWLpkSPcT-I/AAAAAAAHZlo/EOiCTyH5ypM/s640/images.jpg)
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/IMG_8896.jpg)
UNESCO KUENDELEA KUSAIDIANA NA TANZANIA KUINUA ELIMU
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
UNESCO yafadhili maendeleo ya sayansi Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili kwenye mahafali ya pili ya Taasisi ya Afrika ya Nelson Mandela ya Sayansi na Teknolojia yaliyofanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki.(Picha zote na Zainul Mzige wa modewjiblog)
Na Mwandishi Wetu, Arusha
SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limesema linafanyakazi na nchi 20 za Afrika kutengeneza mifumo ya kitaifa ya sayansi, teknolojia kusaidia mataifa hayo kufikia malengo yao ya...
10 years ago
Habarileo21 Dec
UNESCO yasaidia kutengeneza mifumo ya kitaifa ya sayansi
SHIRIKA la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limesema linafanyakazi na nchi 20 za Afrika kutengeneza mifumo ya kitaifa ya sayansi, teknolojia kusaidia mataifa hayo kufikia malengo yao ya maendeleo.
11 years ago
Tanzania Daima24 Feb
‘Serikali iwekeze masomo ya sayansi’
MPANGO wa Serikali wa Matokeo Makubwa Sasa unaweza ukafanikiwa kuleta tija ya kimaendeleo katika sekta ya elimu nchini, iwapo serikali itawekeza zaidi katika masomo ya sayansi na hisabati shuleni. Pia...
9 years ago
Habarileo19 Sep
Wahimizwa kutokwepa masomo ya sayansi
WANAFUNZI nchini wametakiwa kuongeza juhudi katika masomo ya sayansi na kuacha tabia ya kuyakwepa masomo hayo.