Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi wa maji kutumia Sh500 milioni

Mradi wa Ujenzi wa Mabomba ya Maji, Mtaa wa Mpiji Magoe, Kinondoni jijini Dar es Salaam unatarajiwa kutumia kiasi cha Sh500 milioni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI WA SHILINGI MILIONI 300 KIJIJI CHA MVUMI MAKULU MKOANI DODOMA.

 kushoto Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally, akiwa na Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe wakizindua kisima cha maji.
 Waziri wa Maji Profesa.Jumanne Maghembe, pamoja naMkuu wa Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma Fatma Ally wote kwa pamoja wakifungua bomba la maji kuashiria uzinduzi rasmi wa matumizi ya maji.  Waziri wa Maji Maji Profesa.Jumanne Maghembe akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa kijiji cha Mvumi makulu Mkoani Dodoma.  Muonekano wa kisima kichozinduliwa.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mradi wa maji wa sh Milioni 343 wazinduliwa kijiji cha Mabogini, RC Makalla ataka vyanzo vya maji vitunzwe

Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Amos Makalla mwenye miwani akizindua huduma ya maji katika kijiji cha Mabogini, mkoani Kilimanjaro wenye thamani ya Sh Milioni 343.

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

ZAIDI ya wananchi 3000 wa kijiji cha Mabogini, kitongoji cha Shabaha, mkoani Kilimanjaro, watanufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kupelekewa mradi wenye thamani ya Sh Milioni 343. Mradi huo uliozinduliwa jana na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Amos Makalla, umesimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi...

 

9 years ago

Vijimambo

MKURANGA KUFAIDIKA NA MRADI WA MAJI YA KISIMA UTAKAOZALISHA LITA MILIONI 1.8 KWA SIKU

Afisa Uhusiano wa Jamii wa Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka (DAWASA), Mecky Mdaku, akigusa maji yanayotiririka kutoka kwenye kisima kirefu chenye urefu wa mita 541, eneo la Mkwalia, wilayani Mkuranga mkoa wa Pwani leo Septemba 17, 2015. Kisima hicho kinamechimbwa na Kampuni ya Uchimbaji wa Visima ya ZENTAS kutoka Uturuki.na kinatarajiwa kuzalisha maji lita milioni 1.8 kwa siku.Kiongozi wa waendesha mitambo ya uchimbaji visima wa kampuni ya ZENTAS Bw. Sima Teodor ( kushoto) akitoa maelezo...

 

5 years ago

Michuzi

TAKUKURU DODOMA YAOKOA MILIONI 297 NA KUSAIDIA KUKAMILIKA MRADI WA MAJI UTAKAOHUDUMIA WANANCHI 5000

Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Dodoma (TAKUKURU) Sosthenes Kibwengo akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake leo kuhusiana na tathimini ya robo ya mwaka kwa mwezi Januari hadi Machi.
Charles James, Michuzi TVTAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Dodoma katika kufuatilia miradi ya maendeleo imewezesha mradi wa maji wa kijiji cha Mlongia wilayani Chemba kutoa maji na kuwafaidisha wananchi zaidi ya 5000 ambao awali hawakua na huduma ya maji.

Mradi huo...

 

10 years ago

Bongo5

Msanii wa Kenya adhamini mradi wa maji kwenye shule wenye thamani ya shilingi milioni 36 za Tanzania

Msanii wa muziki wa Kenya, Esther Akoth aka Akothee anafahamika kwa miradi yake ya kusaidia jamii. Akothee (katikati) akiwa na walimu wa shule ya sekondari ya St. Alberts Ulanda Girls iliyopo Migori, Kenya Hivi karibuni, Akothee amejitolea kudhamini mradi wa maji kwenye shule ya wasichana iliyopo kwenye kaunti ya Migori nchini Kenya. Shule hiyo iitwayo […]

 

10 years ago

Michuzi

WANANCHI KIJIJI CHA MADINDO MLANGALI WASHIRIKIANA NA MBUNGE NA DIWANI WAO KUJENGA MRADI WA MAJI WA MILIONI 15

Mbunge Filikunjombe akishiriki kuchimba mfereji  wa maji kijiji cha MadindoWananchi  wa madindo wakishirikiana na mbunge wao Filikunjombe kukamilisha mradi wa maji
Diwani  wa kata ya Mlangali kushoto na katibu mwenezi wa CCM mkoa wa Njombe  wakijumuika na wanawake wa  kijiji cha madindo kucheza kwa furaha baada ya mradi huo kukamilika ,kulia ni mbunge Filikunjombe akishuhudia Diwani wa kata ya  Mlangali Faraja Mlelwa akisaidia  kukunja nguo kwa ajili ya kumwongeza mbunge Filikunjombe...

 

11 years ago

Mwananchi

Aidai halmashauri Urambo Sh500 milioni

 Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mahakama Kuu Kanda ya Tabora inadaiwa fidia ya Sh500 milioni kutokana na uzembe wa mtumishi wake na kumsababishia mlalamikaji ulemavu wa maisha.

 

10 years ago

Michuzi

Bodi ya ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) yatembelea Eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda


 Meneja Usimamizi, Uendeshaji na Mazingira toka Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) Bi.Modesta Mushi akiwaonesha wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA) ramani ya maeneo yatakayoguswa na Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Kidunda lenye ujazo wa Mita milioni 190, wakati wa Ziara ya Bodi hiyo katika eneo la Mradi Mkoani Morogoro.Mkuu wa Msafara wa Timu ya Ulipaji fidia kwa Wakazi walio katika Eneo la Mradi Mhandisi John...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani