MRADI WA SECO WAZINDULIWA JIJINI ARUSHA
![](http://4.bp.blogspot.com/-Yn6K5OG0D4w/U0o_5I-sE_I/AAAAAAAFaYI/vgSk4mmU09E/s72-c/unnamed+(9).jpg)
Mradi wa kuunganisha sekta za Wazalishaji matunda, mbogamboga na wenye hoteli (SECO) unaofadhiliwa na Serikali ya Switzerland umezinduliwa Jijini Arusha.
Mradi huo ambao lengo lake kuu ni kuboresha maisha ya watanzania wanaojihusisha na sekta hizo kwa kuongeza uzalishaji wao na uhakika wa masoko ya ndani nan je ya nchi, unaanza utekelezaji wake mara ,moja ukiwa na thamani ya jumla ya Dola za Ki marekani milioni tatu na nusu.
Uzinduzi wa Mradi huo umeshuhudiwa na Katibu Mtendaji...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo28 Jan
Mradi wa umeme Nanyumbu wazinduliwa
AHADI ya Serikali ya kuhakikisha inafikisha umeme Wilaya ya Nanyumbu na vijiji vyake , imetekelezwa baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuzindua rasmi mradi wa umeme wilayani humo. Kuzinduliwa kwa mradi huo, kumetengeneza historia mpya ya mji huo, kwani tangu uhuru, ulikuwa ukitumika umeme mbadala wa nishati ya jua na jenereta.
10 years ago
Habarileo04 Dec
Mradi kuhifadhi nafaka kisasa wazinduliwa
MRADI wa Sh milioni 900 utakaowezesha wakulima wadogo wa Nyanda za Juu Kusini na Kaskazini wa kuhifadhi nafaka kwa kutumia teknolojia bunifu ulizinduliwa katika kijiji Cha Ibumula wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, juzi.
10 years ago
Habarileo22 Feb
Mradi wa kuwajengea uwezo vijana wazinduliwa
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, amezindua mradi wa kuwajengea uwezo vijana katika ujasiriamali.
11 years ago
Habarileo26 Mar
Mradi kudhibiti saratani ya shingo ya kizazi wazinduliwa
ONGEZEKO la ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi limeelezwa kufukuzia kasi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Iringa. Katika kukabiliana na ongezeko hilo, Shirika la T-Marc Tanzania limekuja na mradi wa miezi 18 wa kuzuia na kudhibiti saratani ya shingo ya kizazi mkoani Iringa.
11 years ago
Habarileo26 Jul
Mradi mkubwa wa maji Masasi -Nachingwea wazinduliwa
KERO ya miaka mingi ya uhaba mkubwa wa maji kwa wakazi wa miji ya Masasi, mkoani Mtwara na Nachingwea, mkoani Lindi, hatimaye imemalizika baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa ambao unatoa huduma ya maji kwa wakazi wa miji hiyo.
11 years ago
Habarileo23 Jan
Mradi wa kutokomeza ukatili kwa watoto wazinduliwa
SERIKALI imezindua mradi wa kusimamia matukio ya ukatili kwa watoto nchini, lengo likiwa ni kuhakikisha haki inapatikana.