Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mradi wa umeme Nanyumbu wazinduliwa

AHADI ya Serikali ya kuhakikisha inafikisha umeme Wilaya ya Nanyumbu na vijiji vyake , imetekelezwa baada ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuzindua rasmi mradi wa umeme wilayani humo. Kuzinduliwa kwa mradi huo, kumetengeneza historia mpya ya mji huo, kwani tangu uhuru, ulikuwa ukitumika umeme mbadala wa nishati ya jua na jenereta.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mradi kuhifadhi nafaka kisasa wazinduliwa

MRADI wa Sh milioni 900 utakaowezesha wakulima wadogo wa Nyanda za Juu Kusini na Kaskazini wa kuhifadhi nafaka kwa kutumia teknolojia bunifu ulizinduliwa katika kijiji Cha Ibumula wilayani Wanging’ombe mkoani Njombe, juzi.

 

11 years ago

Michuzi

MRADI WA SECO WAZINDULIWA JIJINI ARUSHA

Mradi wa kuunganisha sekta za Wazalishaji matunda, mbogamboga na wenye hoteli (SECO) unaofadhiliwa na Serikali ya Switzerland umezinduliwa Jijini Arusha.
Mradi huo ambao lengo lake kuu ni kuboresha maisha ya watanzania wanaojihusisha na sekta hizo kwa kuongeza uzalishaji wao na uhakika wa masoko ya ndani nan je ya nchi, unaanza utekelezaji wake mara ,moja ukiwa na thamani ya jumla ya Dola za Ki marekani milioni tatu na nusu.
Uzinduzi wa Mradi huo umeshuhudiwa na Katibu Mtendaji...

 

10 years ago

Habarileo

Mradi wa kuwajengea uwezo vijana wazinduliwa

Dk Fenela Mukangara.WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, amezindua mradi wa kuwajengea uwezo vijana katika ujasiriamali.

 

11 years ago

Habarileo

Mradi mkubwa wa maji Masasi -Nachingwea wazinduliwa

KERO ya miaka mingi ya uhaba mkubwa wa maji kwa wakazi wa miji ya Masasi, mkoani Mtwara na Nachingwea, mkoani Lindi, hatimaye imemalizika baada ya kuzinduliwa kwa mradi mkubwa ambao unatoa huduma ya maji kwa wakazi wa miji hiyo.

 

11 years ago

Habarileo

Mradi wa kutokomeza ukatili kwa watoto wazinduliwa

SERIKALI imezindua mradi wa kusimamia matukio ya ukatili kwa watoto nchini, lengo likiwa ni kuhakikisha haki inapatikana.

 

11 years ago

Habarileo

Mradi kudhibiti saratani ya shingo ya kizazi wazinduliwa

ONGEZEKO la ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi limeelezwa kufukuzia kasi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Iringa. Katika kukabiliana na ongezeko hilo, Shirika la T-Marc Tanzania limekuja na mradi wa miezi 18 wa kuzuia na kudhibiti saratani ya shingo ya kizazi mkoani Iringa.

 

10 years ago

Vijimambo

Mradi wa maji safi na salama wazinduliwa Kiwani, Pemba

AFISA Mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii,Vijana Wanawake na watoto Pemba Mhe: Mauwa Makame Rajab, akikunjuwa kitambaa kuashiria ufunguzi wa mradi wa maji safi na salama huko Kiwani, ulijengwa kwa nguvu za Serikali na kugharimu zaidi ya Milioni 82.AFISA mdhamini Wizara ya Uwezeshaji Ustawi wa Jamii, Vijana Wanawake na Watoto Pemba Mhe:Mauwa Makame Rajab, akizungusha koki ya maji kuashiria uzinguzi wa mradi wa maji katika shehia ya kiwani, uliojengwa kwa nguvu za Serikali ambapo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani