Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MREMBO ACHANWA NA VIWEMBE KWA WIVU

Stori: Issa Mnally INASIKITISHA sana! Stela Mbinga ambaye ni mke wa mtu, mkazi wa Tegeta - Kontena jijini Dar amepata balaa kubwa baada ya kuchanwachanwa uso wake kwa viwembe na jirani yake aliyefahamika kwa jina la Zakia Mohamed. Stella Mbinga akiwa na majeraha ya viwembe. Habari kutoka eneo la tukio zinasema kuwa, Zakia na Stella kwa muda mrefu wamekuwa wakiishi maisha ya uhasama na kuringishiana hali iliyojenga chuki...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

MKE WA MTU ACHANWA VIWEMBE

Gabriel Ng’osha AMA kweli dunia katili! Mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la Asha Idd (27), mkazi wa Tabata jijini Dar, amepata majeraha mwilini na kichwani kufuatia kuchanwa na viwembe na mtu aliyedaiwa kumkopesha fedha kiasi cha shilingi laki moja (100,000) na kushindwa kumrejeshea, Ijumaa Wikienda lina kisa na mkasa. Akiwa na majereha baada ya kujeruhiwa kwa viwembe. Duru za habari zilieleza kwamba, kabla ya kufanyiwa kitu...

 

10 years ago

Habarileo

Mtoto achanwa viwembe, vidonda vyawekwa chumvi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard PauloPOLISI mkoani hapa wanamshikilia Tausi Omary (30), mkazi wa kata ya Chamwino, Manispaa ya Morogoro kwa tuhuma za kujeruhi mtoto wa dada yake, Jafari Mashaka (11) kwa kumchanachana mguuni kwa wembe na kisha kuweka chumvi kwenye vidonda, kwa madai ya kumwimbia fedha kiasi cha Sh 4,500.

 

11 years ago

GPL

MREMBO AZUA KASHESHE, KISA WIVU WA MAPENZI!

Mrembo akizua kasheshe baada ya kutolewa nje ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala, Dar. Stori: Issa Mnally
AMA kweli pombe siyo chai. Timbwili la aina yake liliibuka ndani ya Ukumbi wa Mango Garden, Mwananyamala jijini Dar hivi karibuni baada ya dada mmoja kuanzisha kasheshe alipomkuta mpenzi wake akiwa amekaa kimahaba na demu mwingine.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

SHERIA MKONONI: Ajeruhiwa kwa viwembe akituhumiwa ugoni

>Mkazi mmoja wa Mtaa wa Msamvu B mjini hapa,  Rehema Juma amekatwakatwa na wembe shavuni na mkononi kisha kuvuliwa nguo na kupigwa na jirani yake akimtuhumiwa kutembea na mumewe.

 

10 years ago

Habarileo

Ajinyonga hadi kufa kwa gauni la mkewe kwa wivu

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Henry Mwaibambe MKAZI wa kijiji cha Nyakabanga kata ya Butelankuzi, Bukoba vijijini, Eliud Charles (30) anadaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kutumia gauni la mkewe, Velidiana Eliud kutokana na wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kwa wivu,Mume amjeruhi mkewe kwa shoka

Mume amcharanga mkewe kwa kumshuku kuwa ana bwana anyempa kiburi kutoka Singapore,na ambaye humrejesha nyumbani mara moja kwa mwezi.

 

11 years ago

Mwananchi

Ajinyonga kwa wivu wa mapenzi

Mkazi wa Kijiji cha Shilabela, mkoani Geita, ambaye amefahamika kwa jina moja la Daud (35) amekufa kwa kujinyonga chooni kutokana na kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Auawa kwa wivu wa mapenzi

MWANAKIJIJI cha Itenka Tarafa ya Nsimbo wilayani Mlele Katavi, Mary Magese (39) ameuwawa na mwili wake kutupwa katika kisima cha maji. Mauaji hayo yalifanyika Septemba 14 mwaka huu saa mbili...

 

10 years ago

Habarileo

Aua kwa wivu wa mapenzi

MTU mmoja, Juma Zengo Ulata (28) anashikiliwa na Jeshi la Polisi baada kumpiga nondo ya kichwa na kumsababishia kifo Issa Mihayo Shilia (40), mkazi wa Shinyanga Tanzania Bara baada ya kumtuhumu kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mkewe huko Bambia wilaya ya Kati Unguja.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani